Ntakuja tupinge. 😎😎 Japo wajua tena huku na huko duniani kulivyo masafa marefu. 😀😀Tulipinga kwa ajili ya October 18, sasa unaonaje uje tupinge kwa ajili ya November 7? Na nilikwambia pia mkeka wangu hua hauchaniki🤪🤪🤪😂
Jitahidi tu uje ili tuweke kumbukumbu sawa na tumalize ubishi. Kwa uhakika wa ushindi niliokua nao yaani petrol utaekewaaaa🤪🤪🤪🤪🤪Ntakuja tupinge. 😎😎 Japo wajua tena huku na huko duniani kulivyo masafa marefu. 😀😀
Weeee!!! Umenikumbusha mbali lol.Jitahidi tu uje ili tuweke kumbukumbu sawa na tumalize ubishi. Kwa uhakika wa ushindi niliokua nao yaani petrol utaekewaaaa🤪🤪🤪🤪🤪
Acha kuamini uchawi wewe 😃Walikisikia wakaona kwa nini aje kulia bure bora tu wazuge na uongo uongo walau kuwatafutia ahueni.
Wakasahau kwamba 11+7= 18 pia. 😂😂😂😂
Kwa mila na desturi zetu wa Afrika ni vibaya kumzungumzia vibaya marehemu, MUACHE APUMZIKE. 😝😀Nikumbushe hebu Mtani. 😎
Hivyo yule ropo ropo wenu kafanya na tiefuefu wakaamini uchawi. LolAcha kuamini uchawi wewe 😃
Hebu acha ukorofi basi Shadeeya🤣😂🤣😀Hivyo yule ropo ropo wenu kafanya na tiefuefu wakaamini uchawi. Lol
Ni turuuu turuu atii. 😂😂😂 Kawawweezzzaaaa.Hebu acha ukorofi basi Shadeeya🤣😂🤣😀
Wachezaji wao wameitwa timu za taifa..Ila jana kule Chamazi sijaona soka la kueleweka jamani au ni macho yangu ya kizee yalinidanganya?
Mlipomfukuza Mzungu wa watu mlitegemea nini kwa mfano Shadeeya?😂😂😂Ila jana kule Chamazi sijaona soka la kueleweka jamani au ni macho yangu ya kizee yalinidanganya?
Bado asee na uongozi ni kama hauko serious ktk kumleta mwalimu mwingineIla jana kule Chamazi sijaona soka la kueleweka jamani au ni macho yangu ya kizee yalinidanganya?
Hata kama aisee waliobakia ilikuwa ndo chance yao kuonyesha walivyonavyo na si vile jamani.Wachezaji wao wameitwa timu za taifa..
😀😀😀.
Unafikiri. Mwambusi naye ni jipu tu mana waeza sema afadhalia yule Mkwasa alikuwa anapanga kikosi ukaona kabisa kuna kitu kinafanyika Uwanjani.Bado asee na uongozi ni kama hauko serious ktk kumleta mwalimu mwingine
Hiyo si sababu bana.Mlipomfukuza Mzungu wa watu mlitegemea nini kwa mfano Shadeeya?😂😂😂
Tunamsubiri Kaze aje atengeneze koneksheni🤣🤣🤣