Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Jitahidi tu uje ili tuweke kumbukumbu sawa na tumalize ubishi. Kwa uhakika wa ushindi niliokua nao yaani petrol utaekewaaaa🤪🤪🤪🤪🤪
Weeee!!! Umenikumbusha mbali lol.

Haya bana Ses ngoja siku ziende ende mana wajua tena sisi wazee hatukawii kusahau. 😂
 
hili litimu litakuja kutoa watu roho, mpaka mabosi wanaumia yan[emoji23]
IMG_20201009_200345.jpg
 
Back
Top Bottom