Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ntakuja tupinge. 😎😎 Japo wajua tena huku na huko duniani kulivyo masafa marefu. 😀😀Tulipinga kwa ajili ya October 18, sasa unaonaje uje tupinge kwa ajili ya November 7? Na nilikwambia pia mkeka wangu hua hauchaniki🤪🤪🤪😂