Kwa pira mlopigiwa na Burundi Jana nyie tff + Simba ni wazi huyu mwamba anaweza akaja kuuwasha moto! Mana inaonyesha falsafa ya makocha Wa Kirundi ni namna ileAnafikiri timu ya watoto ya Barcelona ndio derby ya Kariakoo?!!! Hataamini kitakacho wapata Chura FC. Tunamkaribisha
Namuwaza yule ropo ropo aliyekuwa anajivuna wachezaji wao kujazana huko kaandika nini baada ya yale matokeo na yule mmoja kupewa red card.Kwa pira mlopigiwa na Burundi Jana nyie tff + Simba ni wazi huyu mwamba anaweza akaja kuuwasha moto! Mana inaonyesha falsafa ya makocha Wa Kirundi ni namna ile
Hapo @Kwa pira mlopigiwa na Burundi Jana nyie tff + Simba ni wazi huyu mwamba anaweza akaja kuuwasha moto! Mana inaonyesha falsafa ya makocha Wa Kirundi ni namna ile
Wangeaza kuonyesha maajabu huko kwenye timu zao kwanza ShadeeyaView attachment 1598485
GSM, SALIM ABDALLAH KUONGOZA KAMATI YA USHINDI STARS
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia, ameunda Kamati ya Ushindi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo mwenyekiti wake ni Ghalib Said Mohammed (GSM), Makamu Mwenyekiti ni Salim Abdallah na Katibu wake ni Mhandisi Hersi Said.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, wajumbe wa Kamati hiyo wamo pia Haji Manara, Patrick Kahemele, Jerry Muro na Abdallah Bin Kleb.
Nimefurahishwa na hao wajumbe tu hapo chini. πππ japo mmoja hakawii kulia hapo. πππ
Sasa unapingana na Tiefuefu Ses π³π³.Hapo @
Wangeaza kuonyesha maajabu huko kwenye timu zao kwanza Shadeeya
Hapo @
Wangeaza kuonyesha maajabu huko kwenye timu zao kwanza Shadeeya
Ndio walewale tuπππSasa unapingana na Tiefuefu Ses π³π³.
Angewekwa nani ndo ungefurahi?
Nilikua nimekasirika lakini umenichekesha Wallah ShadeeyaππππView attachment 1598503
ππππ
Ndo mukamlilie Baba yenu tiefuefu sasa amtoe huyo Gharib kama hafai. πππNdio walewale tuπππ
Mi naelewa tiiefuefu ni ya kwenu ila mnavotusingizia kua ni yetu nabaki kuwashangaa tuπ€ͺπ€ͺπ€ͺNdo mukamlilie Baba yenu tiefuefu sasa amtoe huyo Gharib kama hafai. πππ
Hahahaaa. Cheka tu sababu kiukweli ni wivu tu ndo ulifanya ukakasirika kisa tu kuna Gharib, Injinia na Jerry Murro mzee wa Maudhi.Nilikua nimekasirika lakini umenichekesha Wallah Shadeeyaππππ
Nijuvye hali yako kwa muhtasari kwanzaπ€ͺ
Toka lini?Mi naelewa tiiefuefu ni ya kwenu ila mnavotusingizia kua ni yetu nabaki kuwashangaa tuπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Mie Alhamdulillah uzima ninao nipo napambana na hali yangu hapa kwa Muhindi.Nijuvye hali yako kwa muhtasari kwanzaπ€ͺ
Hasa huyo watatu uliyemtajaHahahaaa. Cheka tu sababu kiukweli ni wivu tu ndo ulifanya ukakasirika kisa tu kuna Gharib, Injinia na Jerry Murro mzee wa Maudhi.
Hahahahaa. Kama namuona ropo ropo wenu atakavyokuwa mdogo. πππHasa huyo watatu uliyemtaja
πππMie Alhamdulillah uzima ninao nipo napambana na hali yangu hapa kwa Muhindi.
Tifu tifu wamewaweka viongozi waandamizi wa Yanga kwenye lile likamati lao,ili wapate sympathy ya wanayangaNdo mukamlilie Baba yenu tiefuefu sasa amtoe huyo Gharib kama hafai. πππ
Manara mtoto wa mjini bana, usimfananishe na wa kijijiniHahahahaa. Kama namuona ropo ropo wenu atakavyokuwa mdogo. πππ
Mana akijifanya ujuaji yupo mjuaji zaidi yake.