View attachment 1598485
GSM, SALIM ABDALLAH KUONGOZA KAMATI YA USHINDI STARS
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia, ameunda Kamati ya Ushindi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo mwenyekiti wake ni Ghalib Said Mohammed (GSM), Makamu Mwenyekiti ni Salim Abdallah na Katibu wake ni Mhandisi Hersi Said.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, wajumbe wa Kamati hiyo wamo pia Haji Manara, Patrick Kahemele, Jerry Muro na Abdallah Bin Kleb.
Nimefurahishwa na hao wajumbe tu hapo chini. 😂😂😂 japo mmoja hakawii kulia hapo. 😂😂😂