Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ratiba yetu ya mechi za Ligi Kuu kwa mwezi Octoba.
20201012_185534.jpg
 
IMG-20201013-WA0005.jpg

GSM, SALIM ABDALLAH KUONGOZA KAMATI YA USHINDI STARS

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia, ameunda Kamati ya Ushindi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo mwenyekiti wake ni Ghalib Said Mohammed (GSM), Makamu Mwenyekiti ni Salim Abdallah na Katibu wake ni Mhandisi Hersi Said.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, wajumbe wa Kamati hiyo wamo pia Haji Manara, Patrick Kahemele, Jerry Muro na Abdallah Bin Kleb.

Nimefurahishwa na hao wajumbe tu hapo chini. 😂😂😂 japo mmoja hakawii kulia hapo. 😂😂😂
 
Kwa pira mlopigiwa na Burundi Jana nyie tff + Simba ni wazi huyu mwamba anaweza akaja kuuwasha moto! Mana inaonyesha falsafa ya makocha Wa Kirundi ni namna ile
Hapo @
View attachment 1598485
GSM, SALIM ABDALLAH KUONGOZA KAMATI YA USHINDI STARS

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia, ameunda Kamati ya Ushindi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo mwenyekiti wake ni Ghalib Said Mohammed (GSM), Makamu Mwenyekiti ni Salim Abdallah na Katibu wake ni Mhandisi Hersi Said.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, wajumbe wa Kamati hiyo wamo pia Haji Manara, Patrick Kahemele, Jerry Muro na Abdallah Bin Kleb.

Nimefurahishwa na hao wajumbe tu hapo chini. 😂😂😂 japo mmoja hakawii kulia hapo. 😂😂😂
Wangeaza kuonyesha maajabu huko kwenye timu zao kwanza Shadeeya
 
Back
Top Bottom