Hahahaaa. Tatizo uwiano wa mabao Mtani.Haya matokeo sidhan kama yanawaumiza , lait kama Azam angekufa , hiyo pressure mngekua nayo Leo isiingelezeka hahahaha
Magori majuzi tu hapo alisema Hawawez ruhusu kocha asajili , mosi mchezaj sio Mali ya kocha ni Mali ya club , hawez kua na uchungu kama nyie , anaweza wajazia watu wa Taifa lake au wateja wa agency iliyo msimamia , hivyo basi anatakiwa awe sehemu ya kamati ya usajiliKweli kabisa. Naona Kocha analeta Utaifa sio bure kwani Fiston bado aisee.
Mie siku sio nyingi ntaliita garasa nalo. Teh.
Acha kabisa. Ila nishapoa Ntani. πππPole mtani, ulikuwa umeshapata nafuu, mara penati π
Una shakhaImekuaje tena jamani , nimeacha mnaongoza naona FT 1-1
Naona kahojiwa anajing'atang'ata tu. πππKocha akihojiwa atasingiziwa majiπ€£π€£π€£
Nikusaidie kucheka Mtani. πππDah Aisee HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA HAHAHAHAHAHAHAHAH HAHAHAHAHAHAHAHAH
Umefanya nimecheka. Dooh.Kuanzia jana Raha aaaaaaaaaaaaaah
Leo tena Raha aaaaaaaaaaaaaah
Inakera sana Mtani.Magori majuzi tu hapo alisema Hawawez ruhusu kocha asajili , mosi mchezaj sio Mali ya kocha ni Mali ya club , hawez kua na uchungu kama nyie , anaweza wajazia watu wa Taifa lake au wateja wa agency iliyo msimamia , hivyo basi anatakiwa awe sehemu ya kamati ya usajili
Kwa sababu kuna uwezekano mkasajili mchezaj mkakaa nae miaka 10 chini ya makocha 8 tofaut , kuna mtazamo mpana sana unahitajika
Basi Juzi acha nihangaike kukutag lol.Pole mtani, ulikuwa umeshapata nafuu, mara penati π
Niko na wewe Kabisa hivi kocha tangu match na African si aliona Kabisa huyu ndugu yake ni garasa Leo mwanzo mwisho hana kitu anafanya hajui kujiposition hajui kusumbua bekiKweli kabisa. Naona Kocha analeta Utaifa sio bure kwani Fiston bado aisee.
Mie siku sio nyingi ntaliita garasa nalo. Teh.
π kaa kimya hivyo hivyo, maana ilibidi nifanye vile! πBasi Juzi acha nihangaike kukutag lol. Baadae ndo nkagundua kumbe ni wewe.
Niko na wewe Kabisa hivi kocha tangu match na African si aliona Kabisa huyu ndugu yake ni garasa Leo mwanzo mwisho hana kitu anafanya hajui kujiposition hajui kusumbua beki
Yani kaseke na nchimbi walihitajika dk ya 30 baada ya game kuanza
Umeona Mkuu. Kocha inapaswa ajitafakari kwa kweli.Niko na wewe Kabisa hivi kocha tangu match na African si aliona Kabisa huyu ndugu yake ni garasa Leo mwanzo mwisho hana kitu anafanya hajui kujiposition hajui kusumbua beki
Yani kaseke na nchimbi walihitajika dk ya 30 baada ya game kuanza
Oooh!! Amusori Ntani. ππππ kaa kimya hivyo hivyo, maana ilibidi nifanye vile! π