Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Tatizo uwiano wa mabao Mtani.Haya matokeo sidhan kama yanawaumiza , lait kama Azam angekufa , hiyo pressure mngekua nayo Leo isiingelezeka hahahaha
Ndio sababu tunaombea kushinda hizi mechi walau tuwaache kidogo sasa sare hii imefanya turudi kule kule.