Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Haya matokeo sidhan kama yanawaumiza , lait kama Azam angekufa , hiyo pressure mngekua nayo Leo isiingelezeka hahahaha
Hahahaaa. Tatizo uwiano wa mabao Mtani.

Ndio sababu tunaombea kushinda hizi mechi walau tuwaache kidogo sasa sare hii imefanya turudi kule kule.
 
Kweli kabisa. Naona Kocha analeta Utaifa sio bure kwani Fiston bado aisee.

Mie siku sio nyingi ntaliita garasa nalo. Teh.
Magori majuzi tu hapo alisema Hawawez ruhusu kocha asajili , mosi mchezaj sio Mali ya kocha ni Mali ya club , hawez kua na uchungu kama nyie , anaweza wajazia watu wa Taifa lake au wateja wa agency iliyo msimamia , hivyo basi anatakiwa awe sehemu ya kamati ya usajili

Kwa sababu kuna uwezekano mkasajili mchezaj mkakaa nae miaka 10 chini ya makocha 8 tofaut , kuna mtazamo mpana sana unahitajika
 
Inakera sana Mtani.
 
Mji utatulia bana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kweli kabisa. Naona Kocha analeta Utaifa sio bure kwani Fiston bado aisee.

Mie siku sio nyingi ntaliita garasa nalo. Teh.
Niko na wewe Kabisa hivi kocha tangu match na African si aliona Kabisa huyu ndugu yake ni garasa Leo mwanzo mwisho hana kitu anafanya hajui kujiposition hajui kusumbua beki
Yani kaseke na nchimbi walihitajika dk ya 30 baada ya game kuanza
 
20210213_181310.jpg

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
 
Niko na wewe Kabisa hivi kocha tangu match na African si aliona Kabisa huyu ndugu yake ni garasa Leo mwanzo mwisho hana kitu anafanya hajui kujiposition hajui kusumbua beki
Yani kaseke na nchimbi walihitajika dk ya 30 baada ya game kuanza

Hii ni laana ya kumuacha molinga kwa kumnyanyasa huku katufungia magoli kibao, yanga hatuna mshambuliji hata mmoja leo hii.. anaejua kujiposition kama molinga
 
Niko na wewe Kabisa hivi kocha tangu match na African si aliona Kabisa huyu ndugu yake ni garasa Leo mwanzo mwisho hana kitu anafanya hajui kujiposition hajui kusumbua beki
Yani kaseke na nchimbi walihitajika dk ya 30 baada ya game kuanza
Umeona Mkuu. Kocha inapaswa ajitafakari kwa kweli.
 
Back
Top Bottom