Na uendelee hivo hivo aiseee kwani huwa zinatulazaga macho hizo hasa ikitokea tumefungwa. π π πHuyo broo wako yuko kama mm, mm habari za mpira wa Tanzania sinaga kabisa. Najua tu kuna simba na Yanga hizo zingine sijui ata zinatokea wapi
Nilikuwa kushangilia hukoππAcha tu Mkuu. Ila Mungu mkubwa tumekomboa.
π π π mi nimshabiki hasa ila nikiwa Uwanjani game za Simba na Yanga huwa nawashangaa sana wale wanaozimiaga. π πMnamaisha marefu sana ninyi, natamn ningekuwa kama nyinyiπ€£π€£, mm presha inaweza kupanda faster mkabaki mnasema mbona alikuwa mzima tuπ
π π π πNilikuwa kushangilia hukoππ
Kwa hiyo haikupaswa kuwa Penalti?Kwa kubebwa tu hamjambo
Ukweli hata mm japo n shabiki wa timu pasua kichwa, yanga, Chelsea na real Madrid, but yanga ndo baba lao but hata siku cwezi kuzima et kisa mpira, yan hata nibetie nyumba kamwe cwez ruhusu moyo wang uzidiwe na hilo had kuzimaππlaπ π π mi nimshabiki hasa ila nikiwa Uwanjani game za Simba na Yanga huwa nawashangaa sana wale wanaozimiaga. π π
Yaani unaeza shangaa tu mtu kadondoka.
ntaangali kipind cha pili ngoja niwah homeImeanza tangia 19:00hrs.
Nadhani wengi wanakuwa hawatarajii kinachotokea.Ukweli hata mm japo n shabiki wa timu pasua kichwa, yanga, Chelsea na real Madrid, but yanga ndo baba lao but hata siku cwezi kuzima et kisa mpira, yan hata nibetie nyumba kamwe cwez ruhusu moyo wang uzidiwe na hilo had kuzimaππ
Na uendelee hivo hivo aiseee kwani huwa zinatulazaga macho hizo hasa ikitokea umefungwa. [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28] mi nimshabiki hasa ila nikiwa Uwanjani game za Simba na Yanga huwa nawashangaa sana wale wanaozimiaga. [emoji28][emoji28]
Yaani unaeza shangaa tu mtu kadondoka.
Kwa hiyo haikupaswa kuwa Penalti?
Hahahaaa. Haya bana.Chomoeni na hilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.Leo kazi ipo. Doooh.