Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mnamaisha marefu sana ninyi, natamn ningekuwa kama nyinyi🤣🤣, mm presha inaweza kupanda faster mkabaki mnasema mbona alikuwa mzima tu😁
😅😅😅 mi nimshabiki hasa ila nikiwa Uwanjani game za Simba na Yanga huwa nawashangaa sana wale wanaozimiaga. 😅😅

Yaani unaeza shangaa tu mtu kadondoka.
 
la😅😅😅 mi nimshabiki hasa ila nikiwa Uwanjani game za Simba na Yanga huwa nawashangaa sana wale wanaozimiaga. 😅😅

Yaani unaeza shangaa tu mtu kadondoka.
Ukweli hata mm japo n shabiki wa timu pasua kichwa, yanga, Chelsea na real Madrid, but yanga ndo baba lao but hata siku cwezi kuzima et kisa mpira, yan hata nibetie nyumba kamwe cwez ruhusu moyo wang uzidiwe na hilo had kuzima😆😆
 
Ukweli hata mm japo n shabiki wa timu pasua kichwa, yanga, Chelsea na real Madrid, but yanga ndo baba lao but hata siku cwezi kuzima et kisa mpira, yan hata nibetie nyumba kamwe cwez ruhusu moyo wang uzidiwe na hilo had kuzima😆😆
Nadhani wengi wanakuwa hawatarajii kinachotokea.

Yaani unakuta mtu kaenda huku akilini mwake kwamba timu inashinda. Ikitokea imetanguliwa sasa hapo lazima adondoke.
 
Hakuna kitu nakipenda kwenye hizi timu mbili kama zile tambo zao, aisee ile kitu ni burudani tosha ata zaidi ya mpira wenyewe. Huwa nacheka sana nikikutana na tambo zao unakuta shabiki wa simba anasema hivi na shabiki wa Yanga anasema hivi basi ni burudani tu. Yaani utakuta ni penalti kweli lakini shabiki wa Yanga atakataa [emoji23][emoji23][emoji23] nyie acheni zile tambo zao ndio huwa nafuatilia sana hasa baada ya mechi napenda kusikia mashabiki wanasema nn. Unakuta shabiki anasema kocha hamna kitu kabisa kwann kampanga fulani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na uendelee hivo hivo aiseee kwani huwa zinatulazaga macho hizo hasa ikitokea umefungwa. [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hahahahahaaa
[emoji28][emoji28][emoji28] mi nimshabiki hasa ila nikiwa Uwanjani game za Simba na Yanga huwa nawashangaa sana wale wanaozimiaga. [emoji28][emoji28]

Yaani unaeza shangaa tu mtu kadondoka.
 
Back
Top Bottom