Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Na uendelee hivo hivo aiseee kwani huwa zinatulazaga macho hizo hasa ikitokea tumefungwa. 😅😅😅Huyo broo wako yuko kama mm, mm habari za mpira wa Tanzania sinaga kabisa. Najua tu kuna simba na Yanga hizo zingine sijui ata zinatokea wapi