Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nilochogundua hadi sasa mukoko tonombe huwa anaficha sana makosa ya kina lamine
 
Ni bora tukawatangulia kwani si ajabu wakitangulia wao ndo ikawa basi tena kwetu.
Sure, yan saiz atakayefunga goli la tatu huyo ndo mwenye uwezekano mkubwa wa kuongeza magoli zaidi kuliko atakayekuwa anatafta kusawazisha🤔
 
Shadeeya hii uliona [emoji23][emoji23]
 
Sure, yan saiz atakayefunga goli la tatu huyo ndo mwenye uwezekano mkubwa wa kuongeza magoli zaidi kuliko atakayekuwa anatafta kusawazisha🤔
Naona Sarpong anachezea nafasi tu ambazo si ajabu mwishowe akazijutia.
 
Hahahaaa. Hizi ndo zetu mashabiki Mkuu yaani unakuta tunajua kupanga kikosi kuliko kawaida.

Na hasa pale kikosi kinapofanya vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…