Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hahaha akil znawakaa Sasa waliponad sera zao hatukuwaona ubingwa wa simba na yanga inategemea nani yupo kwenye kiti kikuu pale tffLigi ikiisha kuna haja ya kuwatathimini kwa kina sana viongozi wetu. Kuna wengine hawafai kuwa viongozi Wa timu kubwa kama Yanga
Yaaaani kwa akili hizi za Utopolo, Yanga itaendelea kua genge la wahuni.Hahaha akil znawakaa Sasa waliponad sera zao hatukuwaona ubingwa wa simba na yanga inategemea nani yupo kwenye kiti kikuu pale tff
Enz za malinz yanga juuuu
Enz za kariaa simba juuu
Tupambane tumuweke mtu wetu akae juu pale tff vingnevyo ndio Isha Isha hyo
dah, yan ni shida!Hii timu yangu viongozi wanatuangusha sana yan! leo nmeona tangazo Twitter la press, nkasema nifuatilie labda kuna kitu kipya, bado mindset za viongozi wa hii timu zipo kwenye bakuli mpaka sasa hakuna jipya[emoji23], Msola na Mwakalibela sijui wanakwama wapi, tulifeli kutokumchagua Dr. Tiboroha.
nilishangaa sana hasa makundi Ya Yanga whatsAp walivoanz kumponda Dk tibo et apite uyu Msola ya tushafeli muda sanaHii timu yangu viongozi wanatuangusha sana yan! leo nmeona tangazo Twitter la press, nkasema nifuatilie labda kuna kitu kipya, bado mindset za viongozi wa hii timu zipo kwenye bakuli mpaka sasa hakuna jipya[emoji23], Msola na Mwakalibela sijui wanakwama wapi, tulifeli kutokumchagua Dr. Tiboroha.
Msola hamna kitu, hana vision, style zake za uongozi siyo za zama hizi.nilishangaa sana hasa makundi Ya Yanga whatsAp walivoanz kumponda Dk tibo et apite uyu Msola ya tushafeli muda sana
Msolwa toka mwanzo wakat wa kampen akili zake zilikuwa n kuchangishana pesa ili timu isonge mbele nadhan alikuwa na watu fulan fulan nyuma wenye influenceMsola hamna kitu, hana vision, style zake za uongozi siyo za zama hizi.
Ongeeni na huyo mzee arudiTangu timu yetu ondoke Mwambusi, kila kitu kimechange, spirit imeshuka.......yaani nikama tunabahatisha tu......sioni kama tunaweza kuchallenge ubingwa this season.....nimeangalia hii mechi ya Kengold pale Uhuru leo, na kitimu kile kidogo kabisa, sioni mafanikio yoyote this season kama kutakuwa hakuna mabadiriko ya haraka.......kocha bado hawajui wachezaji wake,kila siku anatest test tu.......anyway soon naona hii safari ya kwenda uwanjani nitapumzika....kila siku sioni jipya kwa Kaze na Benchi lake.........
Bora wewe unasema ukwel mchungu timu yetu haioneshi mabadiliko Zaid wachezaj wanajichezea tu hakuna spirit ya upambanajiTangu timu yetu ondoke Mwambusi, kila kitu kimechange, spirit imeshuka.......yaani nikama tunabahatisha tu......sioni kama tunaweza kuchallenge ubingwa this season.....nimeangalia hii mechi ya Kengold pale Uhuru leo, na kitimu kile kidogo kabisa, sioni mafanikio yoyote this season kama kutakuwa hakuna mabadiriko ya haraka.......kocha bado hawajui wachezaji wake,kila siku anatest test tu.......anyway soon naona hii safari ya kwenda uwanjani nitapumzika....kila siku sioni jipya kwa Kaze na Benchi lake.........
Mkuu kila mechi ya dsm asilimia kubwa naziangalia game pale uhuru au taifa, honestly, huwezi kuwa na amani 90 minutes cos mechi nyingi tunacheza ovyo kwenye final third as if ni wachezaji wa mchangani......Bora wewe unasema ukwel mchungu timu yetu haioneshi mabadiliko Zaid wachezaj wanajichezea tu hakuna spirit ya upambanaji
N vizuri kikosoa timu inapofanya vibaya na s kuitetea kkabu wakat timu inaonekana inaenda kipotea
Mzaha mzaha ipo siku yanga itakuwa timu yankawaida sana Kama ruvu shooting Kama hatua haztochukuliwa mapema
Mchezaj ana mwaka hajafunga lakn ndio tegemeo la timu yetu kila mech yupo maana yake tumeishiwa hatuna namna
kuna mahali benchi la ufundi wanakwama, na hili nlitegemea kutokana na kuajiri watu wasiyo wazoefu....wachezaji wanashuka viwango na hawajiamn kabisa.Mkuu kila mechi ya dsm asilimia kubwa naziangalia game pale uhuru au taifa, honestly, huwezi kuwa na amani 90 minutes cos mechi nyingi tunacheza ovyo kwenye final third as if ni wachezaji wa mchangani......
Mimi nafkir tatzo kubwa lipo kwa kocha, mind ishabadlika anaamini sana kwenye kujirindaBora wewe unasema ukwel mchungu timu yetu haioneshi mabadiliko Zaid wachezaj wanajichezea tu hakuna spirit ya upambanaji
N vizuri kikosoa timu inapofanya vibaya na s kuitetea kkabu wakat timu inaonekana inaenda kipotea
Mzaha mzaha ipo siku yanga itakuwa timu yankawaida sana Kama ruvu shooting Kama hatua haztochukuliwa mapema
Mchezaj ana mwaka hajafunga lakn ndio tegemeo la timu yetu kila mech yupo maana yake tumeishiwa hatuna namna
Kaze n defensive minded coach Sasa wanayanga wanataka timu yao ioneshe mpira mzur expansive football hana muda na yeye ataondoka labda abadirikeMimi nafkir tatzo kubwa lipo kwa kocha, mind ishabadlika anaamini sana kwenye kujirinda
Sababu kubwa ya kumpanga foward ambae assist hatoi wala hafungi magoli ni kwamba atasaidia team kwenye kukaba
Pili kocha hajiamn tena, mfano Simba wao game ya jana Chama, Miqquissone, Wawa, Lwanga etc wote wameanza na wataanza tena game ya Sudan ukicheki hapo kutoka Jana mpka game ya El merrikh ni siku 5. Ila Mh Kaze yeye ni kupumzisha wachezaji tu baada ya kucheza mara kwa mara na kuzoeana ili watengeneze pattern, Sasa sijui huwa anawapumzisha ili hizo nguvu wakaztumie kwenye sex na mademu zao
Mkumbuke mkataba na GSM nao hauna maisha marefu sana , umebaki mwaka na mieziKaze n defensive minded coach Sasa wanayanga wanataka timu yao ioneshe mpira mzur expansive football hana muda na yeye ataondoka labda abadirike
UwiiiiiMimi nafkir tatzo kubwa lipo kwa kocha, mind ishabadlika anaamini sana kwenye kujirinda
Sababu kubwa ya kumpanga foward ambae assist hatoi wala hafungi magoli ni kwamba atasaidia team kwenye kukaba
Pili kocha hajiamn tena, mfano Simba wao game ya jana Chama, Miqquissone, Wawa, Lwanga etc wote wameanza na wataanza tena game ya Sudan ukicheki hapo kutoka Jana mpka game ya El merrikh ni siku 5. Ila Mh Kaze yeye ni kupumzisha wachezaji tu baada ya kucheza mara kwa mara na kuzoeana ili watengeneze pattern, Sasa sijui huwa anawapumzisha ili hizo nguvu wakaztumie kwenye sex na mademu zao