NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Nimekuona kule kwenye uzi wa live😁😁😁😁, umekuja huku kutuchekeaYanga Vs Utopolo a.k.a wakususa f.c,wapo ngapi ngapi?
[emoji23][emoji23]Nimekuona kule kwenye uzi wa live[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], umekuja huku kutuchekea
Kwani ngapingapi uko mtani?Nimekuona kule kwenye uzi wa live[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], umekuja huku kutuchekea
Mtani mm pekee ndo nmeachiwa uzi nipambane na nyie et 😁😁😁😁, nitaweza kweli???[emoji23][emoji23]
Umenifanisha mtani.
1 kwa 0 mtani😆Kwani ngapingapi uko mtani?
Mbona mimi nimeota eti ni 1-1?1 kwa 0 mtani[emoji38]
We ni panyaaa😆😆😆😆Mbona mimi nimeota eti ni 1-1?
Nashangaa huko spain alienda kufanya nnFarid Mussa tumepigwa hamna mchezaji pale
Kocha toa haraka hiyo pumba weka kaseke
Uchawi upo mkuu🤣🤣Nashangaa huko spain alienda kufanya nn
Wanapenda vya kuokota, mchezaji huru. Ukiona mtu n mchezaji huru ujue hana dili tena, soko limepotea, aya chukua mfano kisinda na mkoko hawa kweli hela zilitumika za adabu but kazi yao inaonekana uwanjani. Hao huru! Mhhhh labda saidoPiston(fiston) n garasa tu nalo hivi hawa wachezaj huwa anawaona nan
Kamati ya usajir ijitathmini haikidh viwango
Sio kamati ya usajili, ni GSM. Kwani kwenye kiile kiti pale airport iliyobebwa juu juu kwenye kiti ni kamati ya usajili au Hersi?Piston(fiston) n garasa tu nalo hivi hawa wachezaj huwa anawaona nan
Kamati ya usajir ijitathmini haikidh viwango
Panya atuliagi,mara kabatini mara jikoni,mara uvubgu wakitanda[emoji23][emoji23]We ni panyaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ili mradi shidaaaa, akusumbue weee uchukie 🤣🤣🤣🤣Panya atuliagi,mara kabatini mara jikoni,mara uvubgu wakitanda[emoji23][emoji23]