Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Piston(fiston) n garasa tu nalo hivi hawa wachezaj huwa anawaona nan

Kamati ya usajir ijitathmini haikidh viwango
Wanapenda vya kuokota, mchezaji huru. Ukiona mtu n mchezaji huru ujue hana dili tena, soko limepotea, aya chukua mfano kisinda na mkoko hawa kweli hela zilitumika za adabu but kazi yao inaonekana uwanjani. Hao huru! Mhhhh labda saido
 
Itabidi viongozi wa timu wasimwachie kocha peke yake kusajili wachezaji Simba asilimia kubwa ya wachezaji wanasajili viongozi kwa kocha ni wa muda anasajili wachezaji wabovu akifukuzwa anatuachia wachezaji wabovu Nadhali akina Kisinda na Mukoko ni viongozi waliowasajili na jazi yao tunaiona
 
Hili goli alilofungwa Shikaro amekuwa alifungwa magoli ya namna hii toka alipokuja Yanga, Ina maana kocha wa makipa ameshindwa ku.improve performance
 
Back
Top Bottom