Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
We sema tu Acha iniue na itakuua kweli.Wacha iniue tu Mtani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Viongozi wa Yanga ni wajinga wameshawaona Mashabiki wao ni wajinga,
Mnadanganyika kitoto sana,Tumia akili tarehe 2 ndo kesi inapangiwa healing, mbona kitu rahisi sana hizo ulizo leta ni kesi zinazofanyiwa healing tarehe 2
Ni maoni yakoViongozi wa Yanga ni wajinga wameshawaona Mashabiki wao ni wajinga,
Nenda kwenye website ya Cas kuna orodha ya kesi zote pale zitakazo sikilizwa kesi ya Morrison na Yanga HAIPO [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wewe ndo huna akili unasoma ila hulelewiViongozi wa Yanga ni wajinga wameshawaona Mashabiki wao ni wajinga,
Nenda kwenye website ya Cas kuna orodha ya kesi zote pale zitakazo sikilizwa kesi ya Morrison na Yanga HAIPO [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa tabia ya Morrison acha akomolewe tuhili la morison tatizo la Yanga ni kukomoa wachezi na hii ndio historia ya yanga.
Yanga haijawahi muachia mchezaji mwenye kiwango kwenda simba hata kama simba wakimuhitaji bila kumkomoa hata kama mchezaji husika akikataa
[emoji23][emoji23]Chuma kimeondoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1805512
ntakaporudi ntakuja kuwapa mafanikio, malengo na mikakati ya yanga.
na hatma ya ubaya tunaopandikizwa kutokana na utajiri tulionao.
Hahahaaa. LolWe sema tu Acha iniue na itakuua kweli.
Kwa jinsi tulivyocheza first round ubingwa ulikuwa wetu kabisa Mtani sema second round zile sare na kufungwa ndo kukaharibu kila kitu.Anajinyea tu hukoView attachment 1807851