Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Mfia timu [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa jinsi tulivyocheza first round ubingwa ulikuwa wetu kabisa Mtani sema second round zile sare na kufungwa ndo kukaharibu kila kitu.
Sidhani kama wanahitaji lawama zaidi ya kukiboresha zaidi kikosi ili next season tufanye vyema zaidi.
Mashabiki wa Simba wote Ni Kama Dc aliyepamdishwa kiximban Jana, hasa hasa kwa majivuni. Siku zenu zinahesabika, tukana mnavyoweza, beza muwezavyo Ila siku zenu zinahesabika.Yanga hawajawahi kuwa na akili, wanabweka kama mbwa na kulia kama nyani....
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Shida huko kwa Simba sc kutaka vya bure km Malayay. Daima aliyezoea vya kunyonga kuchinja hawezihili la morison tatizo la Yanga ni kukomoa wachezi na hii ndio historia ya yanga.
Yanga haijawahi muachia mchezaji mwenye kiwango kwenda simba hata kama simba wakimuhitaji bila kumkomoa hata kama mchezaji husika akikataa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti Next season tufanye vyama, Labda Simba sc Tanzania ihame ligi.Kwa jinsi tulivyocheza first round ubingwa ulikuwa wetu kabisa Mtani sema second round zile sare na kufungwa ndo kukaharibu kila kitu.
Sidhani kama wanahitaji lawama zaidi ya kukiboresha zaidi kikosi ili next season tufanye vyema zaidi.
Hii kitu sahau kwa miaka kadhaa ntaniKwa jinsi tulivyocheza first round ubingwa ulikuwa wetu kabisa Mtani sema second round zile sare na kufungwa ndo kukaharibu kila kitu.
Sidhani kama wanahitaji lawama zaidi ya kukiboresha zaidi kikosi ili next season tufanye vyema zaidi.
Huyu Arafat n nani, anaongea kwa mamlaka kama Yanga n yake vile [emoji23][emoji23][emoji23], ni nani
😅😅😅 we ota. 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti Next season tufanye vyama, Labda Simba sc Tanzania ihame ligi.
Hii kitu sahau kwa miaka kadhaa ntani
Gap between us ni kubwa kupita kiasi, hatuko level moja tena , kuja kubeba ubingwa kwenu labda itokee bahati tu miaka michache ijayo , kama kilicho tokea ufaransa na Italy, bahati tuZidi tu kukariri kauli ya Manara Mtani. Teh
Wanasema kelele na shangwe utaziskia siku wakienda kumpokea airport.Yaani YANGA wasajili Djuma Shaaban Halafu wako kimya
Haiwezekani kabisa itakuwa mmemshtukia
Naona tumekuja kivingine this time.Yanga 2