Ni hatari sana kukutana na Simba kwa timu inayoruhusu mabao mawili katika mechi ndogo
Hamna uhatari wowote hapo Mtani. Na ikifika hiyo tarehe 03 ndo utaona.Ni hatari sana kukutana na Simba kwa timu inayoruhusu mabao mawili katika mechi ndogo
Naona umeanza kuwa ripota wa Timu ya Wananchi tena kwenye yale matukio mabaya. 🤣🤣
Jana katufingisha makusudi na tukaonyweshwa dole la kati mashabikiChukwu emeka kwani jana kilitokea nini eti Mkuu mana nilishangaa tu kuna mzozo?
Hivi hapo alishindwa nini kunyoosha mikono? Mana ni kama hakuwa mchezoni.Jana katufingisha makusudi na tukaonyweshwa dole la kati mashabiki
View attachment 1822383
Eti anadai alijua mpira unatoka hivyo akaacha ili asisababishe kona! Cha ajabu aliruka tu bila kujua eneo la goli lake lililobakia! Hakuwa serious kiukweli! Halafu pamoja na upumbavu wote huo alitaka washabiki wanyamaze na wachukulie kiurahisi tu! Mtu mwenyewe kabla tu ya hapo alikuwa haaminikiHivi hapo alishindwa nini kunyoosha mikono? Mana ni kama hakuwa mchezoni.
Amelewa sifa anajiona star,hajui hata national team anaitwa kwasababu yupo YangaHivi hapo alishindwa nini kunyoosha mikono? Mana ni kama hakuwa mchezoni.
Anatuzingua, asepe tuEti anadai alijua mpira unatoka hivyo akaacha ili asisababishe kona! Cha ajabu aliruka tu bila kujua eneo la goli lake lililobakia! Hakuwa serious kiukweli! Halafu pamoja na upumbavu wote huo alitaka washabiki wanyamaze na wachukulie kiurahisi tu! Mtu mwenyewe kabla tu ya hapo alikuwa haaminiki
Tulikwama kwenye kuubakiza moira kwenye matendo na kuupeleka kwenye maneno mengiUwanja wa Kaunda ulivyokuwa enzi za zamani, sijui tulikwama wapiView attachment 1823349
Kweli kabisaTulikwama kwenye kuubakiza moira kwenye matendo na kuupeleka kwenye maneno mengi
Alisahau kwamba sisi mashabiki ndo tunaumia zaidi huku yeye akiwa mpitaji tu mana si ajabu kesho na kesho kutwa akahamia upande wa pili.Eti anadai alijua mpira unatoka hivyo akaacha ili asisababishe kona! Cha ajabu aliruka tu bila kujua eneo la goli lake lililobakia! Hakuwa serious kiukweli! Halafu pamoja na upumbavu wote huo alitaka washabiki wanyamaze na wachukulie kiurahisi tu! Mtu mwenyewe kabla tu ya hapo alikuwa haaminiki
Amelisahau hilo. 😀😀Amelewa sifa anajiona star,hajui hata national team anaitwa kwasababu yupo Yanga