Heee!! Sikuwahi kudhania aisee.Uwanja wa Kaunda ulivyokuwa enzi za zamani, sijui tulikwama wapiView attachment 1823349
Michezaji ya kibongo mbumbumbu kabisa! Ngoja aachwe aende anakohisi ni sahihi kwake!Amelewa sifa anajiona star,hajui hata national team anaitwa kwasababu yupo Yanga
Mimi nashangaa ilikuwaje hadi Leo tunageuka hatuna uwanja na mikia ndio wanaonekana ni Wa kwanza kumiliki uwanja Wa mazoeziUwanja wa Kaunda ulivyokuwa enzi za zamani, sijui tulikwama wapiView attachment 1823349
Akiondoka Yanga, ndiyo story yake imeishia hapoMichezaji ya kibongo mbumbumbu kabisa! Ngoja aachwe aende anakohisi ni sahihi kwake!
Nadhani kuna watu wanaten percent kwenye viwanja vya kukodi, ndiyo maana hakuna kusisitiza kukarabati uwanjaMimi nashangaa ilikuwaje hadi Leo tunageuka hatuna uwanja na mikia ndio wanaonekana ni Wa kwanza kumiliki uwanja Wa mazoezi
Baada ya kuukosa ubingwa, Mmeona mpige zenu stori za kupoteza mawazo masikini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heee!! Sikuwahi kudhania aisee.
Sasa ikawaje pamekuwa namna ile ilivyo sasa?
Aaaaah hapo nimekupata vema sana!Nadhani kuna watu wanaten percent kwenye viwanja vya kukodi, ndiyo maana hakuna kusisitiza kukarabati uwanja
Inaonyesha unamuogopa sana Mukoko wewe!Mukoko, Lamine Rasmi waomba kuondoka Yanga
Njaa haizoelekiMukoko, Lamine Rasmi waomba kuondoka Yanga
Hahahaaa. LolBaada ya kuukosa ubingwa, Mmeona mpige zenu stori za kupoteza mawazo masikini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi uliyapata ndugu yangu!?Utopolo Vs Mwadui kwa Mkapa ngapi ngapi uko,au mnamambo yenu mengine nisiwazingue?
Mmejiandaaje kutupatia ubingwa tar 3?Hahahaaa. Lol