Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mimi nashangaa ilikuwaje hadi Leo tunageuka hatuna uwanja na mikia ndio wanaonekana ni Wa kwanza kumiliki uwanja Wa mazoezi
Nadhani kuna watu wanaten percent kwenye viwanja vya kukodi, ndiyo maana hakuna kusisitiza kukarabati uwanja
 
Utopolo Vs Mwadui kwa Mkapa ngapi ngapi uko,au mnamambo yenu mengine nisiwazingue?
 
20210623_093254.jpg
 
Back
Top Bottom