Kweli kabisa.[emoji23]
Alikiwa anakosa watu, halafu sikuoenda tu jinsi kocha wenu alivyokuwa anamchezesha RW, nilikuwa natamani kuona anatokea kushoto ambako anakuwa huru kukata kulielekea goli na sio kule kulia akikimbia ni kwenye kibendera inabidi apige krosi ambazo hakuna mtumiaji mzuri,hii kwangu ni winga ya kizamani na kwa mtu kama tuisila unamnyima uhuru.
[emoji881][emoji881][emoji881]
Simba wako kambini nyinyi mnahangaika na Manara na Mo ligi ikianza lawama kwa TFF, Marefa na bodi ya ligi.Japo mikia wanaweweseka mbaya kuna uzi wanadai eti kafungwa goli 50 msimu mmoja? [emoji848][emoji848]
Hatujawahi fanya usajili wakaacha vibweka.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Manara ni nani ndani ya Yanga Mtani?Simba wako kambini nyinyi mnahangaika na Manara na Mo ligi ikianza lawama kwa TFF, Marefa na bodi ya ligi.
Mfariji wenuManara ni nani ndani ya Yanga Mtani?
Tangia lini? Teh tehMfariji wenu
PachaTangia lini? Teh teh
Pacha adimu sana weye.Pacha
tayari kakaBryson David ni mtanzania?
Djuma Shabaan na mrithi wa TK master wanatambulishwa leo.
Mdogo wangu ndo kusema ulipataga desa sehemu au?Nunueni byrson David kina CARINHOS mnaibiwa
Duuh!!Djuma Shabaan na Mrithi wa TK Master tayari Ni green and yellow. Ila Kuna tetesi waarabu wanakomaa na Mukoko Tunombe na wameshatuma ofa yao
Hongeran mtani, this time Group Stage mnafika , naona mmepewa saiz yenuManara ni nani ndani ya Yanga Mtani?