Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji23]

Alikiwa anakosa watu, halafu sikuoenda tu jinsi kocha wenu alivyokuwa anamchezesha RW, nilikuwa natamani kuona anatokea kushoto ambako anakuwa huru kukata kulielekea goli na sio kule kulia akikimbia ni kwenye kibendera inabidi apige krosi ambazo hakuna mtumiaji mzuri,hii kwangu ni winga ya kizamani na kwa mtu kama tuisila unamnyima uhuru.

[emoji881][emoji881][emoji881]
Kweli kabisa.
 
Japo mikia wanaweweseka mbaya kuna uzi wanadai eti kafungwa goli 50 msimu mmoja? [emoji848][emoji848]

Hatujawahi fanya usajili wakaacha vibweka.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Simba wako kambini nyinyi mnahangaika na Manara na Mo ligi ikianza lawama kwa TFF, Marefa na bodi ya ligi.
 
20210813_052915.jpg
 
Back
Top Bottom