Njoo utupande basi kama vibonde
Huyu kinyambe?
Kikos cha pili??? Punguza uongoKikosi cha kwanza kiliongoza 1-0 mpk mapumziko, kikosi cha pili kikashindwa kulinda ushindi, ila tumecheza vizuri sana, natumai Yanga mpya imeonekana leo.
π π Cha ajabu Makolo Fc wamesahau hii ilikuwa ni mechi ya kukipima kikosi π π πKile kikosi cha kwanza ndio kilikua chenyewe
Sema match hii kocha alitaka kila mtu acheze.
Zanaco wmetuonyesha pa kuziba.
Utakuta jamaa wa makolo FC wataomba match na tusker ya kenya ππ
Hakika na mechi kama ya jana karibia wachezaji wote walipaswa kucheza ili kocha atathmini kikosi chake kitakachotwaa VPL 2021/2022 teh teh kitakuwa aje.Tumefungwa ila nimeridhika na timu, imecheza vizuri sana mpk pale walipotoka mafundi ndio kdg moto ukapungua.
Utopolo mmeingiza kwaya uwanjani, baadaye mkacheza ndombolo badala ya kabumbu...π π Cha ajabu Makolo Fc wamesahau hii ilikuwa ni mechi ya kukipima kikosi π π π
Wampe kombe Zanaco basi. Teh teh.
Sisi tuna MunguDooh!!
#Sisitunawatu
Hao watu wenyewe akili wanayo sasa?Dooh!!
#Sisitunawatu
Performance ya kilele cha mwananch mwaka jana hamkuirudia hadi ligi inaishaKwa upande wangu Timu ya Wananchi haijacheza vibaya na hiki kilichotokea ni kipimo kwetu hasa, baada ya Timu kukosa mechi kipindi cha Pre Season hivyo kadiri siku zinavyosonga ni dhahiri tutakuwa tishio.
Nyie mnaoleta blah blah kupitia hii mechi mnajifariji na hilo tunalijua.
#Sisitunawatu.
Kwani unaonaje?Hao watu wenyewe akili wanayo sasa?