I can't imagine hiyo kitu aisee. πPerformance ya kilele cha mwananch mwaka jana hamkuirudia hadi ligi inaisha
Imagine mmeanza na performance hii alafu mshindwe irudia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika,tuache presha tumpe kocha mdaKulikuwa na tofauti kubwa sana katika mechi ya leo. Yanga ilikuwa ina wachezaji wazuri tu lakini haikuwa ni timu nzuri lakini Zanaco walikuwa ni timu nzuri iliyokamilika. Yanga ili ije kuwa timu nzuri basi inabidi kuwa wavumilivu kwa zaidi ya miezi miwili. Zanaco wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na pia wameshacheza mechi zaidi ya tano za kirafiki wakati Yanga ndio mechi yao ya kwanza leo.
Halafu mkuu kocha alishasema kuwa apewa muda team wachezaji wazoeane,tumecheza vzur bahati haikuwa yetu[emoji28][emoji28] Cha ajabu Makolo Fc wamesahau hii ilikuwa ni mechi ya kukipima kikosi [emoji28][emoji28][emoji28]
Wampe kombe Zanaco basi. Teh teh.
SahihiKulikuwa na tofauti kubwa sana katika mechi ya leo. Yanga ilikuwa ina wachezaji wazuri tu lakini haikuwa ni timu nzuri lakini Zanaco walikuwa ni timu nzuri iliyokamilika. Yanga ili ije kuwa timu nzuri basi inabidi kuwa wavumilivu kwa zaidi ya miezi miwili. Zanaco wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na pia wameshacheza mechi zaidi ya tano za kirafiki wakati Yanga ndio mechi yao ya kwanza leo.
Shadeeya mzima dada?Hakika na mechi kama ya jana karibia wachezaji wote walipaswa kucheza ili kocha atathmini kikosi chake kitakachotwaa VPL 2021/2022 teh teh kitakuwa aje.
Tunapaswa kucheza mechi nyingi za Kirafiki tena ngumu ngumu,tutaimarika sana,manake kilichotusumbua si wachezaji wabovu bali hakukuwa na uelewano mzuri kama timuKwa upande wangu Timu ya Wananchi haijacheza vibaya na hiki kilichotokea ni kipimo kwetu hasa, baada ya Timu kukosa mechi kipindi cha Pre Season hivyo kadiri siku zinavyosonga ni dhahiri tutakuwa tishio.
Nyie mnaoleta blah blah kupitia hii mechi mnajifariji na hilo tunalijua.
#Sisitunawatu.
Fundi Wa mpira Wa miguu nchini kwetu
Huyu mtu asipopata majeraha akawa na moto uleule na zaidi kweli makolo watapitia magumu sana msimu huu
Wao kwa sasa wapo kwa mudi wanamlamba miguu atoe pesa ya simba dayπ π Cha ajabu Makolo Fc wamesahau hii ilikuwa ni mechi ya kukipima kikosi π π π
Wampe kombe Zanaco basi. Teh teh.
Jana sijui ni kwa nini mwalimu hakumpanga hata David Bryson kule kushoto badala yake akampanga Kibwana ambae si natural left back japo alikiwasha sana pia. Tulihitaji tuone moja ya mabeki wetu Wa huko sana sana Bryson na Yassin
Alipata majeruhi?Brayso hakuwa fit pia vile yasin katoka kwenye injury nae fitness
Hakika na haswa ukiangalia hii Pre Season hatukupata mechi kabisa.Halafu mkuu kocha alishasema kuwa apewa muda team wachezaji wazoeane,tumecheza vzur bahati haikuwa yetu
Makolo wana kelele utadhan wao ndio wamefungs
Mie Alhamdulillah sijambo. Mambo niaje?Shadeeya mzima dada?
Kweli japo napata hofu sana ya kupata hizo mechi nyingi ukizingatia Champions Lague imeshabisha hodi.Tunapaswa kucheza mechi nyingi za Kirafiki tena ngumu ngumu,tutaimarika sana,manake kilichotusumbua si wachezaji wabovu bali hakukuwa na uelewano mzuri kama timu
Jana nilikua namuona vile anapandisha mashambulizi japo kuna muda nilipata hofu alipoumia akaenda kugangwa nje nilidhania na yeye ni spana mkononi.Huyu mtu asipopata majeraha akawa na moto uleule na zaidi kweli makolo watapitia magumu sana msimu huu
π πWao kwa sasa wapo kwa mudi wanamlamba miguu atoe pesa ya simba day
Hebu tuache bina. πWatani mpooo.. Poleni sana na kipigo kichwani na kitu kizito...... View attachment 1916678