Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Nakubaliana na wewe Shadeeya. Mabadiliko kwa Wananchi yanaonekana. Pia kocha wenu ni mzuri, ila kufika mbali kwa timu kwenye michuano hii ni suala la kusubiria tuone mechi zinazofuata maana huku mbele ya safari kuna timu zinapania vigogo hatareee😂😂😂Sema Timu ya Wananchi imeimarika. Kumbuka miaka miwili au mitatu nyuma jinsi ilivyokuwa inatusumbua.
Kama sikosei tuliwahi cheza nao mwaka fulani walitukazia mbaya mpaka tukaja kuwatoa kwenye matuta.
Kwa Yanga hii hilo sahau. 😀Nakubaliana na wewe Shadeeya. Mabadiliko kwa Wananchi yanaonekana. Pia kocha wenu ni mzuri, ila kufika mbali kwa timu kwenye michuano hii ni suala la kusubiria tuone mechi zinazofuata maana huku mbele ya safari kuna timu zinapania vigogo hatareee😂😂😂
Ngoja round hii ipite tuanze kuona ushindani wa ukweliWananchi tuna bao nne huko. 😂
View attachment 2045368
Hahahaaa. Mkitahamaki ligi imeisha. Teh tehN
Ngoja round hii ipite tuanze kuona ushindani wa ukweli
Hata ligi ikiisha bingwa si unamjua lakini Shadeeya?😂😂😂Hahahaaa. Mkitahamaki ligi imeisha. Teh teh
Daaah! Huyu jamaa huyu sijui kwanini achezi watuweke wazi kwanini?Dickson Ambundo Ni Majeruhi Ama?
[emoji16][emoji16][emoji16]eti nguvu mbili[emoji1787]Mjitahidi leo mje hata na nguvu mbili hii moja leo mtalia [emoji28]
Kabisa Yani Kimyaaa, Tumeishia Kumuona Kwenye Kagame Cup TuDaaah! Huyu jamaa huyu sijui kwanini achezi watuweke wazi kwanini?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Shemela Shadeeya upo.Hahahaaa. Mkitahamaki ligi imeisha. Teh teh
Chico Ushindi Wa Kubanza [emoji4]Yanga tunamleta winga wa kushoto wa TP MAZEMBE anaitwa USHINDI jamaa ni tiba na fundi kwelikweli..j3 anatua dsm kukamilisha usajili
Endelea Kuota We Mnyoo..
Sisi siyo nyau!Wachezaji 13 wanaumwa kwa mujibu wa Bumbuli,kwa nn wasihairishe mechi?