Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Nakubaliana na wewe Shadeeya. Mabadiliko kwa Wananchi yanaonekana. Pia kocha wenu ni mzuri, ila kufika mbali kwa timu kwenye michuano hii ni suala la kusubiria tuone mechi zinazofuata maana huku mbele ya safari kuna timu zinapania vigogo hatareee😂😂😂Sema Timu ya Wananchi imeimarika. Kumbuka miaka miwili au mitatu nyuma jinsi ilivyokuwa inatusumbua.
Kama sikosei tuliwahi cheza nao mwaka fulani walitukazia mbaya mpaka tukaja kuwatoa kwenye matuta.