Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sema Timu ya Wananchi imeimarika. Kumbuka miaka miwili au mitatu nyuma jinsi ilivyokuwa inatusumbua.

Kama sikosei tuliwahi cheza nao mwaka fulani walitukazia mbaya mpaka tukaja kuwatoa kwenye matuta.
Nakubaliana na wewe Shadeeya. Mabadiliko kwa Wananchi yanaonekana. Pia kocha wenu ni mzuri, ila kufika mbali kwa timu kwenye michuano hii ni suala la kusubiria tuone mechi zinazofuata maana huku mbele ya safari kuna timu zinapania vigogo hatareee😂😂😂
 
Kwa Yanga hii hilo sahau. 😀
20211215_202100.jpg
 
Back
Top Bottom