SawaHuyu ni beki hasa kwa maana ya halisi ya neno hilo. Mimi sina ushabiki huo wa sijui Makolo sijui Utopolo. Ila Ibrahim "Bacca" ni beki aliyekamilika. Umri wake na aina ya uchezaji wake itakuwa back up nzuri ya Mwamnyeto.
Wengine wenyewe ndio SIMBA SC ,wakali wahizi kazi[emoji23][emoji23][emoji23]Na haya ndo yatakuja kuzaa yale ya msimu uliopita. Yaani tumeanza vizuri ila lengo ni kuwasafishia wengine safari ya ubingwa.
Duuh!Alionekana kwenye mechi ya Uto vs KMKM,mechi ilipomalizika akasajiliwa Uto[emoji16]
Hamna tukae kwa kutulia wakati wanatufanyia mambo yasiyo.Kaeni kwa kutulia
Ooh! Hivyo umemuona kwenye mechi hizi za Mapinduzi tuu au kabla ya hapo Mkuu?Huyu ni beki hasa kwa maana ya halisi ya neno hilo. Mimi sina ushabiki huo wa sijui Makolo sijui Utopolo. Ila Ibrahim "Bacca" ni beki aliyekamilika. Umri wake na aina ya uchezaji wake itakuwa back up nzuri ya Mwamnyeto.
jieesiemu kashasema aulizwe yeye so mtaenda mkiukosa ubingwaNa haya ndo yatakuja kuzaa yale ya msimu uliopita. Yaani tumeanza vizuri ila lengo ni kuwasafishia wengine safari ya ubingwa.
Mlishaona mko kwenye kupoteza muelekeo hivyo mkaamua mumrudishe. 🤣🤣🤣Chama asifanye mvuruge amani humu,japo tabu imeanza upyaaaaaaaaa......
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Ila umejua kumisika best.jieesiemu kashasema aulizwe yeye so mtaenda mkiukosa ubingwa
Mlianza kunenepa ovyo[emoji16]Hamna tukae kwa kutulia wakati wanatufanyia mambo yasiyo.
Waache tu watuzingue mambo ya msimu uliopita hata hatuyataki. 🙁🙁jieesiemu kashasema aulizwe yeye so mtaenda mkiukosa ubingwa
Endelea kuugulia maumivu ya moyo taratibu bila kuutikisa mwili[emoji28][emoji28][emoji28]Mlishaona mko kwenye kupoteza muelekeo hivyo mkaamua mumrudishe. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila sio mbaya mana nakumbuka enzi za Okwi naye, yaani mlishajijenga bila yeye hamuwezi na hii ndo ipo kwa Chama. Wacha ale hela zenu Makolo.
Mchezaji kaomba kuondoka huwezi mlazimishaHizi tetesi za Mukoko kuondoka Yanga kama nikweli,viongozi wetu watakuwa wanatuhujumu wenyewe,haiwezekani best player wetu wanakuwa wanaondoka katika Hali ya mapambano,why? Tutahangaika sana ila kama nikweli mchawi ni viongozi wetu
Sawa mzee wa kupigwa BAN. 🤣🤣🤣Endelea kuugulia maumivu ya moyo taratibu bila kuutikisa mwili[emoji28][emoji28][emoji28]
Uyo shua tutamuona j/pili[emoji16]View attachment 2081375
A yu shua?
Mmbea[emoji28]Sawa mzee wa kupigwa BAN. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona mmeanza kututisha na Albadili. 🤣🤣Uyo shua tutamuona j/pili[emoji16]
Hapa naona ndo una hoja ya msingi sana "hatuwezi kuafanikiwa kwa kutengeneza timu kila msimu"Hatuwezi kufanikiwa Kwa kutengeneza timu kila msimu,silalamiki natoa hoja zangu....pinga Kwa hoja nawewe.......wewe Kuna mchezaji Yanga umewahi kutoa hata buku?
Eti Mmbeeea. Naona ushaanza kuwa Sugu. 😅😅Mmbea[emoji28]
Unadhani si ajabu ikawa ivo tena.Wengine wenyewe ndio SIMBA SC ,wakali wahizi kazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app