DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
SawaHuyu ni beki hasa kwa maana ya halisi ya neno hilo. Mimi sina ushabiki huo wa sijui Makolo sijui Utopolo. Ila Ibrahim "Bacca" ni beki aliyekamilika. Umri wake na aina ya uchezaji wake itakuwa back up nzuri ya Mwamnyeto.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app