Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu ni beki hasa kwa maana ya halisi ya neno hilo. Mimi sina ushabiki huo wa sijui Makolo sijui Utopolo. Ila Ibrahim "Bacca" ni beki aliyekamilika. Umri wake na aina ya uchezaji wake itakuwa back up nzuri ya Mwamnyeto.
Ooh! Hivyo umemuona kwenye mechi hizi za Mapinduzi tuu au kabla ya hapo Mkuu?
 
Chama asifanye mvuruge amani humu,japo tabu imeanza upyaaaaaaaaa......

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mlishaona mko kwenye kupoteza muelekeo hivyo mkaamua mumrudishe. 🤣🤣🤣

Ila sio mbaya mana nakumbuka enzi za Okwi naye, yaani mlishajijenga bila yeye hamuwezi na hii ndo ipo kwa Chama. Wacha ale hela zenu Makolo.
 
Mlishaona mko kwenye kupoteza muelekeo hivyo mkaamua mumrudishe. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila sio mbaya mana nakumbuka enzi za Okwi naye, yaani mlishajijenga bila yeye hamuwezi na hii ndo ipo kwa Chama. Wacha ale hela zenu Makolo.
Endelea kuugulia maumivu ya moyo taratibu bila kuutikisa mwili[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mlianza kunenepa ovyo[emoji16]
IMG-20191204-WA0001.jpg

A yu shua?
 
Back
Top Bottom