Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Salamu tumetuma Msimbazi
Tutatoa kipigo cha mbwa mwizi
Hatuogopi hizo zenu hirizi
Asamoah anawangoja kichizi!

Mwaka huu mtakoma na Papic
Kama mlivyolizwa na Kondic
Hata kama hatuna kipa Cuckovic
Tunao mabeki bomba kuliko Vidic

Tumewapa muda ili Phiri aje
Tutaona mkifungwa mtasemaje
Kichapo palepale hata mkifanyaje
Sijua Msimbazi mtarudije!!

ayaaaaaaaaaaaaaaaaa kudadadeki simba kapiga mtu nne,patrick ochan katupia mbili,kijuso moko.na shija mkina moko karibu simba day tarehe nane uwaone rashidi gumbo,amir maftah,patrick ochan na wengineo wengi.
 
Naipenda sana Yanga lakini bado presha tupu ikicheza na Simba na mashindano ya kimataifa.
 
Teh teh kweli Baba hakukosea kunilazimisha kushabikia Dar Young Musica ama Yanga.

Coz leo hii nayaona mafanikio yake.
Forza Yanga.
Sempre Yanga
 
Teh teh kweli Baba hakukosea kunilazimisha kushabikia Dar Young Musica ama Yanga.

Coz leo hii nayaona mafanikio yake.
Forza Yanga.
Sempre Yanga

Mimi pia nikiwa Darasa la pili baba anatukusanya kwenye Redio zikicheza Yanga na Simba
Ushabiki ukaanzia hapo..leo mimi na Yanga damu hakuna cha kunibadilisha
Well done Yanga kazi mliofanya jana si haba mnastahiri Pongezi
 
Ushabiki wa kurithi noma sana,mie baba na mama YANGA sana baba yangu alitumia muda mwingi kunipeleka kuangalia mechi za Yanga,lakini haikusaidia akili yangu ikanielekeza Msimbazi,nyumbani pakanoga sana tu,Yanga ikifungwa ilikuwa balaa,sasa FL 1,usifanye kama baba peleka mtoto mmoja Msimbazi upate burudani!!
 
Mashabiki wa yanga ndani ya JF naamini mtakuwa na furaha kwa kuwanyoa sharubu watani zetu.

Yanga....mwaaaaaaaaaaaa....aaaaaa!

ebwana mfunyukuzi big up for your yesterday prediction. Yanga 3 Simba 1
 
mwaaaaa mwaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:A S 8:
 
Kushangalia hadi thredi mpya???? Maskini akiokota bana.....
 
Ushabiki wa kurithi noma sana,mie baba na mama YANGA sana baba yangu alitumia muda mwingi kunipeleka kuangalia mechi za Yanga,lakini haikusaidia akili yangu ikanielekeza Msimbazi,nyumbani pakanoga sana tu,Yanga ikifungwa ilikuwa balaa,sasa FL 1,usifanye kama baba peleka mtoto mmoja Msimbazi upate burudani!!

Mkuu mimi si shabiki wa mpira ila YANGA ikifungwa nakosa raha (naumia) hasa ikifungwa na SIMBA. Sasa sijui huu ni ugonjwa gani
 
Hata mie nimeshangaa.Siku zote FL1 sikujua hata kama anapenda mpira..leo ghafla anapuliza mavuvuzela.FL1 hebu tuambie upenzi wa soka umeanza lini?

hahaha ZD nilianza ushabiki kwa Yanga kuanzia nikiwa STD 2 na sitaweza kuiacha bwana hata kama imekuwa haifanyi vizuri mie ni member originare wa Yanga African Sports Sports club:becky:
 
Hivi ilikuwaje jamani was it by penalts ama ni kipigo cha ndani ya 90? Cant believe SIMBA yangu jamanii.. anyways hata chelsea walikuwa mabingwa kwenye hisani wakachapwa. so sad..
 
hahaha ZD nilianza ushabiki kwa Yanga kuanzia nikiwa STD 2 na sitaweza kuiacha bwana hata kama imekuwa haifanyi vizuri mie ni member originare wa Yanga African Sports Sports club:becky:

Kwa vile naelewa mimi Yanga huwa wanafanya vizuri ISIPOKUWA wao niwateja wa SIMBA mara zote. Na huwa sikusikii kuongea kitu pale wanapofungwa na Mnyama. Au huwa unaugulia chinichini?

Anyway hongera kwa Ngao ya hisani.:smile-big:
 
Hata mie nimeshangaa.Siku zote FL1 sikujua hata kama anapenda mpira..leo ghafla anapuliza mavuvuzela.FL1 hebu tuambie upenzi wa soka umeanza lini?

ALilazimishwa na baba yake, tena kwa viboko. Hii ni kwa mujibu wa yeye mwenyewe!!
 
Kwa vile naelewa mimi Yanga huwa wanafanya vizuri ISIPOKUWA wao niwateja wa SIMBA mara zote.Na huwa sikusikii kuongea kitu pale wanapofungwa na Mnyama.Au huwa unaugulia chinichini?
Anyway hongera kwa Ngao ya hisani.:smile-big:

Mimi ni neutral lakini kwa hili (in red) sijiui takwimu gani zinatumika. Takwimu nilizoziona mwaka jana zilionyesha Yanga ndiyo imeifunga Simba (tangu ikiitwa Sunderland) mara nyingi zaidi.

I recall until last year Yanga had won 78 times against Simba's 71 or thereabouts. Nitatafuta uthibitisho lakini mwenye data tofauti awasilishe.
 
Kwa vile naelewa mimi Yanga huwa wanafanya vizuri ISIPOKUWA wao niwateja wa SIMBA mara zote.Na huwa sikusikii kuongea kitu pale wanapofungwa na Mnyama.Au huwa unaugulia chinichini?
Anyway hongera kwa Ngao ya hisani.:smile-big:

sitaki kuingilia yako na FL1, Ila nataka kusema hongera si kwa ngao ya Hisani Hongera ni kuifunga simba.ngao ya hisani its a big deal
 
mimi ni neutral lakini kwa hili (in red) sijiui takwimu gani zinatumika. Takwimu nilizoziona mwaka jana zilionyesha yanga ndiyo imeifunga simba (tangu ikiitwa sunderland) mara nyingi zaidi. I recall until last year yanga had won 78 times against simba's 71 or thereabouts.
Nitatafuta uthibitisho lakini mwenye data tofauti awasilishe.

you are right....................huyo aliyesema hivyo hana data, na hajui kuwa yanga bado ni mbabe wa simba kwa historia.
 
Back
Top Bottom