Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hongera yebo yebo
balantanda hongera pia na ndugu zako wote
balantanda hongera pia na ndugu zako wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga Afrika,Yanga moja mabingwa wa TANZANIA...........................Hongera kwa crew hii
Mwisho SAM TIMBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
- Yaw Berko
- Ivan Knizevic
- Shadrack Nsajigwa Fusso
- Fred Mbuna
- Nadir Haroub Cannavaro
- Athuman Idd chuji
- Kigg makasi
- Devis Mwape
- Jerry Tegete
- Idd Mbaga
- Chacha Marwa
- seif
- Geofrey Bony Mwandanje
- Stephan Mwasika
- Kimathi
- Mwaipopo Ibrahimu
- Nurdin Bakari
- na wengine wote
Fred Felix kataraiya minziro majeshiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mnyama chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mgawanyo wa majukwaa upo...basi fujo tu.haya hongera...tuache tuendelee na Dodoma
Uchakachuaji ni mpaka gorini,(kipa wa Toto alikua anajigeuzageuza, wakati mwingine atambaatambaa na mpira gorini akisubiri mchezaji yeyote wa Yanga ajitokeze ili amugongeshe uingie kwenye nyavu ) ndilo soka la kibongo hilo

hongera sana yanga.
naona okwi kaipiga wiko penati lol
Jee hiyo fedha nyingine imeenda wapi?
![]()
avator yako yenyewe inaonyesha jinsi tulivyo na utu kwa kukuachia ushindi unafikiri tulishindwa kukurarua?
![]()
avator yako yenyewe inaonyesha jinsi tulivyo na utu kwa kukuachia ushindi unafikiri tulishindwa kukurarua?