Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga Afrika,Yanga moja mabingwa wa TANZANIA...........................Hongera kwa crew hii

  1. Yaw Berko
  2. Ivan Knizevic
  3. Shadrack Nsajigwa Fusso
  4. Fred Mbuna
  5. Nadir Haroub Cannavaro
  6. Athuman Idd chuji
  7. Kigg makasi
  8. Devis Mwape
  9. Jerry Tegete
  10. Idd Mbaga
  11. Chacha Marwa
  12. seif
  13. Geofrey Bony Mwandanje
  14. Stephan Mwasika
  15. Kimathi
  16. Mwaipopo Ibrahimu
  17. Nurdin Bakari
  18. na wengine wote
Mwisho SAM TIMBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Fred Felix kataraiya minziro majeshiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mnyama chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yanga, Umoja wa Mataifa....
Yanga OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
Yanga Afrika,Yanga moja mabingwa wa TANZANIA...........................Hongera kwa crew hii

  1. Yaw Berko
  2. Ivan Knizevic
  3. Shadrack Nsajigwa Fusso
  4. Fred Mbuna
  5. Nadir Haroub Cannavaro
  6. Athuman Idd chuji
  7. Kigg makasi
  8. Devis Mwape
  9. Jerry Tegete
  10. Idd Mbaga
  11. Chacha Marwa
  12. seif
  13. Geofrey Bony Mwandanje
  14. Stephan Mwasika
  15. Kimathi
  16. Mwaipopo Ibrahimu
  17. Nurdin Bakari
  18. na wengine wote
Mwisho SAM TIMBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Fred Felix kataraiya minziro majeshiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mnyama chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
avatar28464_3.gif

avator yako yenyewe inaonyesha jinsi tulivyo na utu kwa kukuachia ushindi unafikiri tulishindwa kukurarua?
 
Yan hata ile penati Okwi angefunga bado Yanga angekuwa bingwa kwani Yanga wana uwiano mzuri wa kumfunga Simba timu zilipokutana(Yaani head to head mechi)
 
safi sana, mtabaki kusema ooh toto waliachia magoli, sijui nini lakin ukweli moto wa Yanga simba hausogelei.
 
Uchakachuaji ni mpaka gorini,(kipa wa Toto alikua anajigeuzageuza, wakati mwingine atambaatambaa na mpira gorini akisubiri mchezaji yeyote wa Yanga ajitokeze ili amugongeshe uingie kwenye nyavu ) ndilo soka la kibongo hilo

Ahahahahaaaah!!! Ndio soka letu lilivyo...
 
Mpira ni uwanjani sio kucheza na vyombo vya habari kama simba. Hongera Yanga, hongera Timbe!
 
Uchakachuaji ni mpaka gorini,(kipa wa Toto alikua anajigeuzageuza, wakati mwingine atambaatambaa na mpira gorini akisubiri mchezaji yeyote wa Yanga ajitokeze ili amugongeshe uingie kwenye nyavu ) ndilo soka la kibongo hilo

Yalifungwa kwa staili hiyo? Pole sana. Kwa wale mlitazama majimaji na simba. It was the worst match of the league.

Yaani majimaji walikuwa wanatafutia simba magoli. AIBU KUBWA.
 
avatar28464_3.gif

avator yako yenyewe inaonyesha jinsi tulivyo na utu kwa kukuachia ushindi unafikiri tulishindwa kukurarua?

Sawa mkuu...ila nadhani sasa unaweza ukaona Yanga ilivyo noma..............
 
avatar28464_3.gif

avator yako yenyewe inaonyesha jinsi tulivyo na utu kwa kukuachia ushindi unafikiri tulishindwa kukurarua?

Amrarue nani Simba la Kibisa???
Acha kabisa, Yanga ni nouma.
Pole sana Crashwise, Ivuga, Invisible, Asprin na Simba fans.
Nadhani kuvuliwa Ubingwa sio ishu, ila ishu ni kuzabwa kofi la upande wa pili wa kiganja game za misho mwisho.
Uningwa huu mtamu balaaa
he he he he ehe he he he he
Yaani hadi Invisible kapoteza hata uwezo wa kupiga watu BAN
Kweli Yanga noma.
 
Back
Top Bottom