Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

juzi nilijuwa tumepata Demu la kulipakata, heeh
naona jana limefumaniwa huko chamazi kichupi
mkononi likakimbia na kuambulia suluhu ya
3-3....dah
 
sasa tofauti pointi moja n the sagga continua
 
313335_306899492656955_100000107209924_1411375_1530204952_n.jpg
 
wapinzani poleni sana, msijali raundi ya pili simba wataanza kudraw halafu mtatwaa tena ubingwa kwa tofauti ya magoli ha ha haaaaaa LOL!!!

Vitu vingine msiandike kwa kukurupuka....hata raundi ya pili bado gap ni just 1 point...
 
mtani jana kapigwa viwili na azam ....gwa gwaaa //watu kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
wamepigwa viwili vya fasta tasta gwa gwaaaaaaaaaaaa
asante sana azam naahidi kununua icecream zenu mpaka mwiso wa dunia..eti wanatakiwa wakaipige na zamaleki ..lol
6.JPG
 
na mvua hizi za Dar zinazoendelea ndio utajuwa kama Yanga mnauwanja wa mazoezi pale kaunda au mna mazalia ya mbu na kichocho
 
jumatatu 26 Dec kutakuwa tena na gemu ya hisani kati ya yanga na ESCOM gonga hapa
 
Utasikia Yanga wanasema hawataki ESCOM icheze na Simba !
 
Back
Top Bottom