Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hasa ukiangalia sisi tumeshamaliza kazi wao ndio kwanzaaaa. Lazima wateseke tu Shem.Mikia FC kanunaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa ukiangalia sisi tumeshamaliza kazi wao ndio kwanzaaaa. Lazima wateseke tu Shem.Mikia FC kanunaaaa.
Sana tu.. chako kikiwa mfukoni.Hasa ukiangalia sisi tumeshamaliza kazi wao ndio kwanzaaaa. Lazima wateseke tu Shem.
😀😀😀 lini aliwatukana Mtani?
Kabisaaaa. Ila nimecheka lol.Sana tu.. chako kikiwa mfukoni.
Ile hata sikumsikiliza mana niliona ananichosha kwani Kifaransa ndio kilitamalaki halafu akawa anamaongezi meeengi yasiyo na kichwa wala miguu utadhani yupo kwenye kipindi bana kumbe alipaswa kuongea kwa ufupi tu na watu wangemwelewa sababu kama ni mechi tulishapoteza.Hukuiona ile video baada ya kufungwa na Simba?
Aliongea Kikongo anasema wachezaji hawafati game plan.
Ile hata sikumsikiliza mana niliona ananichosha kwani Kifaransa ndio kilitamalaki halafu akawa anamaongezi meeengi yasiyo na kichwa wala miguu utadhani yupo kwenye kipindi bana kumbe alipaswa kuongea kwa ufupi tu na watu wangemwelewa sababu kama ni mechi tulishapoteza.
Umeonaeeee.Nilimwonea huruma sana siku ile, shida ni vile unafanya kazi halafu unatafuta kupendwa na mashabiki.
Umeonaeeee.
Huenda ikawa pia Mtani sababu maisha ya sasa hakuna anayefanya kitu kwa lengo la kupata hasara.Yuko kama ana mpango wa kugombea uongozi wa timu.
Huenda ikawa pia Mtani sababu maisha ya sasa hakuna anayefanya kitu kwa lengo la kupata hasara.
Ahsante sana. Na kwako pia Mtani.Sawa Mtani, nikutakie jioni njema.
Ngoja nielekee kambini kujadili mipango ya kuwaua wababe wenu, Stand United.
Oyee, tuambieni matokeoMimi nashangaa mikia FC, wanadai refa kapewa m-pesa, wakati tu naambiwa ni omba omba FC, sasa pesa ya kupatia refa tutatoa wapi? Mikia FC muwe na adabu.
YANGA YETU OYEEEE OYEEEEEEEE. TIMU YA WANANCHI HII.
Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
Alliance 0-1Yanga.Oyee, tuambieni matokeo
Mkuu nashukuru ila jana nilikua na mambo mengi sanaSouthern Highland uko wapi Mkuu tushamaliza KIPINDI huku
Kheri tumeshinda. Daima mbele nyuma mwikoSouthern Highland uko wapi Mkuu tushamaliza KIPINDI huku