Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hukuiona ile video baada ya kufungwa na Simba?

Aliongea Kikongo anasema wachezaji hawafati game plan.
Ile hata sikumsikiliza mana niliona ananichosha kwani Kifaransa ndio kilitamalaki halafu akawa anamaongezi meeengi yasiyo na kichwa wala miguu utadhani yupo kwenye kipindi bana kumbe alipaswa kuongea kwa ufupi tu na watu wangemwelewa sababu kama ni mechi tulishapoteza.
 
Nilimwonea huruma sana siku ile, shida ni vile unafanya kazi halafu unatafuta kupendwa na mashabiki.
 
20190302_185306.jpg
 
Mimi nashangaa mikia FC, wanadai refa kapewa m-pesa, wakati tu naambiwa ni omba omba FC, sasa pesa ya kupatia refa tutatoa wapi? Mikia FC muwe na adabu.
YANGA YETU OYEEEE OYEEEEEEEE. TIMU YA WANANCHI HII.

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
 
Oyee, tuambieni matokeo
 
Back
Top Bottom