Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hata na sie tukiyafanya hayo septemba 28 , nayo mwisho wa siku yatakuwa Historia pia love. 😎😎

Amiin Insha Allah. 🙏🙏
Historia huandikwa na wababe na wenye nguvu na wenyekuleta matokeo chanya kama Lunyasi, sasa nyie mnadhani mtaweza kuvaa viatu vyetu? Mtasubiri sana angalau kuikaribia tu rekodi yetu Shadeeya
 
Afisa Habari wa Yanga Hassani Bumbuli ametangaza majina ya wachezaji 19 ambao wameondoka kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco United

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Septemba 28 kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia

Miongoni mwa wachezaji waliotangazwa leo, jina la Mapinduzi Balama limeondolewa kutokana na kiungo huyo kuwa majeruhi

Wengine wanaobaki ni Paulo Godfrey, David Molinga, Juma Mahadhi, Cleofas Sospeter, Mustafa Suleyman na Issa Bigirimana

Wanaosafiri
Metacha Mnata
Farouk Shikalo
Ali Mtoni
Lamine Moro
Kelvin Yondani
Ali Ali
Juma Abdul
Mwarami Issa
Papy Tashishimbi
Feisal Salum
Mohammed Issa
Abdulaziz Makame
Sadney Khoetage
Juma Balinya
Patrick Sibomana
Mrisho Ngasa
Maybin Kalengo
Deus Kaseke
Jaffar Mohammed
 
20190925_060200.jpg
 
Back
Top Bottom