Afisa Habari wa Yanga Hassani Bumbuli ametangaza majina ya wachezaji 19 ambao wameondoka kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco United
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Septemba 28 kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia
Miongoni mwa wachezaji waliotangazwa leo, jina la Mapinduzi Balama limeondolewa kutokana na kiungo huyo kuwa majeruhi
Wengine wanaobaki ni Paulo Godfrey, David Molinga, Juma Mahadhi, Cleofas Sospeter, Mustafa Suleyman na Issa Bigirimana
Wanaosafiri
Metacha Mnata
Farouk Shikalo
Ali Mtoni
Lamine Moro
Kelvin Yondani
Ali Ali
Juma Abdul
Mwarami Issa
Papy Tashishimbi
Feisal Salum
Mohammed Issa
Abdulaziz Makame
Sadney Khoetage
Juma Balinya
Patrick Sibomana
Mrisho Ngasa
Maybin Kalengo
Deus Kaseke
Jaffar Mohammed