Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Jimwambafay tu Ses wakati zimebakia siku 12 pakachimbike Taifa.Lunyasi sisi ni wema sana, tunataka mje uwanjani mkiwa hamna kisingizio sijui cha hatuna kocha, hatuna mazoezi mara tumeng'atwa na nyuki ili kichapo kiwe cha halali na kiwaingie barabara mkiwa na akili zenu timamu na bila kushawishiwa wala kulazimishwa na mtu yeyote
Alisikika mshabiki wa Simba lialia anayeamua kuuficha ukweli wa mambo. 😂😂😂Sasa nyie hata friend match mnatest mitambo! Sio poa kabisa Shadeeya kuwapelekea wale watoto nyuki
Lazima twende wote uwanjani ili niweze kuidhibiti pressure yako maana yatakayowakuta siku hiyo Mungu ndio AnajuaWe Jimwambafay tu Ses wakati zimebakia siku 12 pakachimbike Taifa.
Tuombe uzima siku ifike tukate mzizi wa fitina ila msidhanie mtafanya kama yale mliowafanyia wale madogoAlisikika mshabiki wa Simba lialia anayeamua kuuficha ukweli wa mambo. 😂😂😂
Mwili huu presha natowa wapi mimi? 😎😎😎Lazima twende wote uwanjani ili niweze kuidhibiti pressure yako maana yatakayowakuta siku hiyo Mungu ndio Anajua
Kwa mwili huo ulioumbika vyema Mashaallah pressure huwezi kua nayo ila hao Chura FC unaowashabikia ndio wanakuweka katika hatari ya kupata pressure sasa mamii, hivi huwezi kuachana nao?🙈🙈🙈Mwili huu presha natowa wapi mimi? 😎😎😎
Labda ikawe kinyume chake. 🙈
Daah!! Naachaje kuishabikia Yanga mimi. 🤔🤔🤔🤔Kwa mwili huo
Kwa mwili huo ulioumbika vyema Mashaallah pressure huwezi kua nayo ili hao Chuta FC unaowashabakia ndio wanakuweka katika hatari ya kupata mpressure sasa mamii, hivi huwezi kuachana nao?🙈🙈🙈
Daah!! Naachaje kuishabikia Yanga mimi. 🤔🤔🤔🤔
Wacha iniue. Mwenzangu huyu. 😅😅😅
Nakazia love wacha ituuwe tu. 😂😂😂😂😂Nimecheka sana Wallah, dah!
Mi bora nife kwa ajili yoko mpenzi 🤪🤪🤪Nakazia love wacha ituuwe tu. 😂😂😂😂😂
Ewaaaa!!! 😍😍Mi bora nife kwa ajili yoko mpenzi 🤪🤪🤪
Halafu Lunyasi watafata baadae🤪Ewaaaa!!! 😍😍