Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu 😳😳Ndelemo zote hizo lakini uwanja mmbovu.....
Tumeyapata japo kwa tabu sana Mkuu.Matokeo ni muhimu sana Leo asee
Haya sijajua aisee. Huenda wametumwa.Hivi hawa wapumbavu bado tu hawajakubali yaishe? Mbona nasikia walisainiana mkataba Wa kimangungo na Azam juu ya uhamisho wake Wa mkopo? Mana nasikia walikubaliana tu kwa mdomo kwamba aende polisi kwa mkopo Wa msimu mmoja na baadae azam wamewachenjia gia angani? Wametumwa hawa au!?
Mtani una maneno. Lol.🤣🤣🤣 wazeee wa mwiko sijui sufuria liko wap
Ujue hata na mie jana nilibaki kushangaa tu. Pia wachezaji hawana juhudi za kuhitaji matokeo.Mwinyi Zahera alitufanyia kitu mbaya sana! Kumuuza Makambo na kutuletea David Molinga! Mchezaji gani hana kabisa nguvu za miguu! Shuti lake utadhani ni la mtoto wa darasa la sita! Hana kabisa stamina. Aaaaaaaghhhh!!
Nina imani muda utakapowadia, Ditram Nchimbi na huyo Tariq nani sijui! watamchomesha mahindi mpaka aamue mwenyewe kuvunja mkataba na kurejea Congo.
Mkwasa ameanzisha viungo wanaocheza aina moja ya mchezo! Sijui lengo lake ni lipi. Mfano kuwaanzisha Kaseke, Ngasa na Sibomana. Kwa aina hii ya mfumo, kupata matokeo ni bahati nasibu. Aongeze mshambuliaji mwingine na kupunguza kiungo mmoja wa pembeni.
Mpira uko slow, hauvutii kabisa kwa wanajangwani.
Sema hata wachezaji nao ni vimeo yaani hawana juhudi kabisa wawapo Uwanjani.Mkwasa anatakiwa awe kocha msaidizi na si kocha Mkuu. Uwezo wake Wa kufundisha mpira ni mdogo