MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Tayari huko kimenuka. Yanga 1-0 Villa. Kiiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooal
Villa Squad 0-1 Yanga
Sasa hivi tunashika nafasi ya 2 kwa kuwa na point 43 tunatofautiana na Simba kwa point 1 wao wanaongoza kwa point 44, Azam wanashika nafasi ya 3 kwa kuwa na point 41......Hamisi Kiiza,tunajikongoja kama Man U
Full TimeImekula kwenu......
Kwa mwendo huu lazima turudia tulichofanya msimu uliopita.....Yanga bingwa 2012/13
Hongereni
Pointi 1 ni kubwa kaka; bila Simba kupoteza mchezo hiyo kuipata ni ngumu.Kwa mwendo huu lazima turudia tulichofanya msimu uliopita.....
Sasa hivi tunalingana idadi ya mechi na tuna tofauti ya point moja tu....
Kesho ni Mtibwa Vs Simba pale Jamhuri stadium Moro....
Ni kweli kama Ligi itaisha kwa Simba kushinda mechi zote ama kutotoka sare....Pointi 1 ni kubwa kaka; bila Simba kupoteza mchezo hiyo kuipata ni ngumu.
Yanga bingwa 2012/13
Hongereni[/QU matokeo vip waungwana
Hongera Bala. Mtibwa Vs Simba tena Jamhuri stadium imekaa kimtego kweli..