Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Uongozi wa Yanga umesema kocha mkuu wa timu hiyo Luc Eymael ambaye aliwasili jana, atawahi mkoani Shinyanga kuungana na timu kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa Jumamosi ijayo

Muda mfupi baada ya kuwasili, Eymael alieleza kuwakumbuka wachezaji pamoja na majukumu yake katika kikosi cha Yanga

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema timu hiyo inaandaa utaratibu wa kumuwezesha kocha huyo aweze kufika mkoani Shinyanga kwa wakati

Eymael huenda akaambatana na nyota waliobaki jijini Dar es salaam ambao jana hawakusafiri na timu hiyo kutokana na sababu mbalimbali

Nyota hao ni Bernard Morrison, Metacha Mnata na David Molinga ambaye alidai hakujumuishwa katika msafara.
 
Bora angesubiri zake Dar tu ili lawama za kipigo watakachokipata toka kwa Mwadui zimuendee mwenyewe Mkwasa
 
Mazoezi yanaendelea huko Shinyanga.

20200612_065218.jpg
 
Back
Top Bottom