mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Na leo DROO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo juu ya shida
Kiungo Mshambuliaji, Mapinduzi Balama atakosekana kwenye Kikosi cha timu ya Wananchi kwa takribani wiki tatu baada ya kuumia mazoezini jana.
Get Well Soon
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
@YangaSc
Ni ya Timu ya Wananchi hayo sio ya Mnyero FCMatatizo juu ya shida
Zidi kuota tu Mtani.Na leo DROO
Yanga daimaTIMU YA WANANCHI IMEANZA MAZOEZI RASMI.
Ha ha ha mkuu kama hamtojali tutaomba jumla kuu ya kiasi cha fedha mlizotumia kwa ajili ya marefa waliochezesha mechi zenu ili tujue kama ni affordable. Mana kuna usemi wa "Biashara asubuhi jioni mahesabu"@kidunula1 [emoji23][emoji23][emoji23]
Dua la kuku hili Mtani.Deportivo de Mkunungu leo ni sare nyingine.
kila lakheri Ndanda kuchele.
Nimejikuta nasimama na kupiga makofi kuunga mkono kaulimbiu yenu tu ingawa usichukulie kua ni dalili za kuwakubali Chura FC😀😀😀Hakika Mkuu.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Hahahahaaa!!! Na huko CAF wanunue basi kama wanaweza. 😅Ha ha ha mkuu kama hamtojali tutaomba jumla kuu ya kiasi cha fedha mlizotumia kwa ajili ya marefa waliochezesha mechi zenu ili tujue kama ni affordable. Mana kuna usemi wa "Biashara asubuhi jioni mahesabu"
Hivi lile goli la pili la Molinga ilikua dakika ya ngapi vile? Muamala unahusika pale. Unajua Chura FC wamekua kama wale watoto wakorofi wale, anafanya kosa yeye halafu anakimbia kwenda kushtaki wenzake ndio wamefanya kosaHahahahaaa!!! Na huko CAF wanunue basi kama wanaweza. 😅
Leo nimekumbuka Dada yangu Nifah uko wapi jamaani.
I miss u. Nakumbuka sana vile ulikuwa unawafanyia fujo hawa upande wa pili.
[emoji3][emoji3][emoji3]dada mtashinda leo"Leo nimekumbuka Dada yangu Nifah uko wapi jamaani.
I miss u. Nakumbuka sana vile ulikuwa unawafanyia fujo hawa upande wa pili.
Msaada huo Veeepppeee. Nimemkumbuka tu Mtani.Ushaanza kuomba msaada[emoji16]
Ushaanza kuomba msaada[emoji16]
Insha Allah.[emoji3][emoji3][emoji3]dada mtashinda leo"