Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahaa. Sawa.
Simba 6-0 Vitalo
Simba 3-1 KMC
Simba 5-2 Transit
Simba 2-0 Namungo
Simba 6-0 AFC

Upande wenu
Yanga 0-3 School of Law
Yanga 2-1 African Sport
Yanga 2-0 Waburundi

Lamba Lamba
Azam 2-1 KMC
Azam 1-1 Mtibwa

Don't you smell the danger???

anyway.. Mtani, nikujuze tu .. Mechi yenu vs Warundi, was probably the best performance ambayo mnaweza msiipate msimu wote, (screenshot utakuja niambia)

kwann nasema hv, maandalizi ya mechi yalikua makubwa mno kuliko hata derby yetu, kuanzia wachezaj hadi mashabiki, mliandaa wachezaj kama mnaenda cheza na Al Ahly , Casablanca na Mazembe kwa wakati mmoja , Sitegemea kuona mkiweza kua na performance ile mara kwa mara..

Kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, at your very best performance unakuja na tokeo hilo

kwetu huku sasa , hatujaingia uwanjan tukiwa kama nyie , just normal.. ila angalia vipigo hvyo, Jitahidin Mpate nafasi ya pili

najua utakataa ila ukiwa peke yako utasema kuna ukweli hapa
 
Umeona Utofaut hapo?? suit inatakiwa valiwa kama Ndemla au Manula alivyo hapoView attachment 1553857
Poyeee.
images-1.jpeg
 
Hapana sio vichekesho.
Yule mmakonde ana hatari sana.
Vipi kama angeanguka kutoka Umbali mrefu si wangekimbiana pale uwanjani?..
yule break ya kwanza ingekuwa ICU .
unadhani jembe ni jembe ana hela ya kumtibia mtu uti wa mgongo?.
Yanga yenyewe matatizo yao yanawashinda watayaweza ya harmonize
Mtani nimecheka. Lol.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Simba 6-0 Vitalo
Simba 3-1 KMC
Simba 5-2 Transit
Simba 2-0 Namungo
Simba 6-0 AFC

Upande wenu
Yanga 0-3 School of Law
Yanga 2-1 African Sport
Yanga 2-0 Waburundi

Lamba Lamba
Azam 2-1 KMC
Azam 1-1 Mtibwa

Don't you smell the danger???

anyway.. Mtani, nikujuze tu .. Mechi yenu vs Warundi, was probably the best performance ambayo mnaweza msiipate msimu wote, (screenshot utakuja niambia)

kwann nasema hv, maandalizi ya mechi yalikua makubwa mno kuliko hata derby yetu, kuanzia wachezaj hadi mashabiki, mliandaa wachezaj kama mnaenda cheza na Al Ahly , Casablanca na Mazembe kwa wakati mmoja , Sitegemea kuona mkiweza kua na performance ile mara kwa mara..

Kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, at your very best performance unakuja na tokeo hilo

kwetu huku sasa , hatujaingia uwanjan tukiwa kama nyie , just normal.. ila angalia vipigo hvyo, Jitahidin Mpate nafasi ya pili

najua utakataa ila ukiwa peke yako utasema kuna ukweli hapa
Oooh. Sawa.

Hivi naomba niulize Mtani ubora wa timu unapimwa na timu unayocheza nayo au idadi ya magoli unayofunga Mtani?
 
Hapana sio vichekesho.
Yule mmakonde ana hatari sana.
Vipi kama angeanguka kutoka Umbali mrefu si wangekimbiana pale uwanjani?..
yule break ya kwanza ingekuwa ICU .
unadhani jembe ni jembe ana hela ya kumtibia mtu uti wa mgongo?.
Yanga yenyewe matatizo yao yanawashinda watayaweza ya harmonize

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa Mtani lakini ile ni idea yake ambayo nina hakika alishaifanyia mazoezi na kujiona anaiweza.
 
Back
Top Bottom