Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ila Mpenja bana ujue hilo jina la TK Master ndo limeshakuwa la Tuisila.Two 9 TK-MASTER " TUISILA KISINDA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Mpenja bana ujue hilo jina la TK Master ndo limeshakuwa la Tuisila.Two 9 TK-MASTER " TUISILA KISINDA"
😀😀😀 wanasahau kwamba Yanga ni Klabu kubwa yaani lolote linalofanyika ni lazima limeshafanyiwa tafiti mahali. 😀😀Anatokea mbumbu fc mmoja anakosoa uvaaji wa yanga unajiuliza huyu anafikilia kwa kutumia nnView attachment 1553839
Hahahaa. Sawa.Wamepishana Point 4...
Alafu walikua pungufu kuanzia dk 30 , hakuna namna timu pungufu inaweza ikawa bora kuliko timu iliyokamili
Simba 6-0 VitaloHahahaa. Sawa.
Poyeee.Umeona Utofaut hapo?? suit inatakiwa valiwa kama Ndemla au Manula alivyo hapoView attachment 1553857
😂😂😂😂 LolHao walicopy na kupaste uvaaji wa gwajima wakati yanga walivaa na kujitanabaisha wao ni wana michezo
Hahahaaaa. Najikuta nacheka tu sababu wamekosa cha kukosoa wamebakia kuziandama raba. LolNdio upeo wake wakufikiriView attachment 1554632
Sura ngumu tu Wala siyo wazee,[emoji23][emoji23]Sasa mbona walikuwa wameshazeeka. [emoji41][emoji41]
Hapo lazima na puresha ziwe juu.😀Wacha kabisa msimu ukianza kuna watu wataomba diclopar[emoji23][emoji1609]
Ndio wajue kutangulia sio ishu hasa kama huna ubunifu.Yaani wenzetu tunawasimanga kwa kila jambo sahz mana kila tunachofanya kinawaudhi!
Mtani nimecheka. Lol.
Uliona lile shuti la Calinyo juzi. Aiseee!!Hawa mafundi ni Watoto kabisa hawa!!
Hata na mie nashangaa sababu mwanzoni walisema atakaa nje wiki tatu cha ajabu mpaka sasa bado.Daaa kiukweli tupo nyuma sana kitabibu. Hivi toka kipindi kile hadi Leo balama bado majeruhi tena Wa kuchechemea!?
Oooh. Sawa.Simba 6-0 Vitalo
Simba 3-1 KMC
Simba 5-2 Transit
Simba 2-0 Namungo
Simba 6-0 AFC
Upande wenu
Yanga 0-3 School of Law
Yanga 2-1 African Sport
Yanga 2-0 Waburundi
Lamba Lamba
Azam 2-1 KMC
Azam 1-1 Mtibwa
Don't you smell the danger???
anyway.. Mtani, nikujuze tu .. Mechi yenu vs Warundi, was probably the best performance ambayo mnaweza msiipate msimu wote, (screenshot utakuja niambia)
kwann nasema hv, maandalizi ya mechi yalikua makubwa mno kuliko hata derby yetu, kuanzia wachezaj hadi mashabiki, mliandaa wachezaj kama mnaenda cheza na Al Ahly , Casablanca na Mazembe kwa wakati mmoja , Sitegemea kuona mkiweza kua na performance ile mara kwa mara..
Kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, at your very best performance unakuja na tokeo hilo
kwetu huku sasa , hatujaingia uwanjan tukiwa kama nyie , just normal.. ila angalia vipigo hvyo, Jitahidin Mpate nafasi ya pili
najua utakataa ila ukiwa peke yako utasema kuna ukweli hapa
Sura za kiume si eti? 😂😂😂😂😂Sura ngumu tu Wala siyo wazee,[emoji23][emoji23]
Nimekuelewa Mtani lakini ile ni idea yake ambayo nina hakika alishaifanyia mazoezi na kujiona anaiweza.Hapana sio vichekesho.
Yule mmakonde ana hatari sana.
Vipi kama angeanguka kutoka Umbali mrefu si wangekimbiana pale uwanjani?..
yule break ya kwanza ingekuwa ICU .
unadhani jembe ni jembe ana hela ya kumtibia mtu uti wa mgongo?.
Yanga yenyewe matatizo yao yanawashinda watayaweza ya harmonize
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nasi tumebariki kwa mikono miwili!Ila Mpenja bana ujue hilo jina la TK Master ndo limeshakuwa la Tuisila.
Huyu amevaa kama wachezaji Wa Yanga!