Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kimbwanga hicho kwiiio.Kupata kimbwanga kama hiki tuma neno Shadeeya kwenda namba 99623. Ahsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimbwanga hicho kwiiio.Kupata kimbwanga kama hiki tuma neno Shadeeya kwenda namba 99623. Ahsante
Ujue bana kikawaida raha na hata nyuso kuwa na furaha ni kuona bao zinaingia huku likichezwa soka la uhakika sasa ikiwa namna ile lazima roho ziwapae hasa wakikumbuka mahela yao waliyoyamwaga.Niliona sura za injinia na bosi zinatia huruma, hata hawaamini kabsa kama hii ndio yanga![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah huruma😖😖Ujue bana kikawaida raha na hata nyuso kuwa na furaha ni kuona bao zinaingia huku likichezwa soka la uhakika sasa ikiwa namna ile lazima roho ziwapae hasa wakikumbuka mahela yao waliyoyamwaga.
Tulicheza lakini kiwango kilikuwa si kile nilichokizowea.
Tatizo lao nyodo kibao kama huyu mwenzao hapaDaah huruma😖😖
@Shadeeya angalia aina ya viongozi ulionao kwenye timu, mzaha mzaha hutumbua usaha. Msiseme hatukuwaambia.Tatizo lao nyodo kibao kama huyu mwenzao hapa
Hebu muache ndugu yangu wa Nyumbani.Tatizo lao nyodo kibao kama huyu mwenzao hapa
Sasa Mtani mlitaka aseme tunawaogopa ama?@Shadeeya angalia aina ya viongozi ulionao kwenye timu, mzaha mzaha hutumbua usaha. Msiseme hatukuwaambia.
Wananchi mnapeeenda kujidanganya wenyeweHebu muache ndugu yangu wa Nyumbani.
Mbona washangaa Shadeeya?😀😀😀
Nimeshangaa tu Mbumbuli wa watu.Mbona washangaa Shadeeya?😀😀😀
Bila shaka unajua kuwa Simba wana kawaida ya kufunga magoli kulingana na tarehe husika, mimi yangu ni hayo tu Shadeeya usijesema sikukwambia.😷Nimeshangaa tu Mbumbuli wa watu.
Utafikiri yule zungu pori wao huwa anaongea vya maana![emoji16]Sasa Mtani mlitaka aseme tunawaogopa ama?
Amis is our legend!Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Amissi Tambwe ameupongeza uongozi wa mabingwa hao wa kihistoria kwa kumuajiri Cedric Kaze kuwa kocha mkuu wa timu hiyo
Tambwe aliyewahi kuitumikia Vital'o ya Burundi wakati Kaze akiinoa klabu ya Atletico ya nchini humo, amesema anamfahamu kocha huyo, anafundisha soka la chinichini
Aidha Tambwe amesema ni muhimu kwa Wanayanga kutompa presha kocha huyo ili aweze kuunda timu imara ambayo ana uhakika itafanya vizuri
"Kaze ni kocha mzuri kutokana na jinsi ninavyomjua tangu zamani wakati nacheza Vital’O hapa Bujumbura, yeye alikuwa akifundisha Atletico, kweli timu yake ilikuwa inacheza mpira wa chini wenye pasi nyingi," alisema Tambwe
"Nadhani labda kitu ambacho kinaweza kusumbua ni hizo presha za hapo Tanzania, Lakini nje ya hapo Kaze ni kocha mzuri, anafundisha mpira wa chini siyo wa kutupa tupa yaani ule wa kubutua butua naamini atawasaidia sana Yanga kwa kuifanya icheze mpira mzuri, wapinzani wanatakiwa kujiweka sawa kweli"
Kaze aliondoka Burundi mwaka 2012 kuelekea kule nchini Ujerumani ambapo alipata mafunzo ya juu ya ukocha na akapata nafasi ya kufanya kazi na timu ya Taifa ya Ujerumani
Baadae akapata fursa ya kuwa mkufunzi katika Academy za Fc Barcelona, akifanya kazi hiyo Ujerumani na Canada
Amewahi kuinoa timu ya Taifa ya Burundi ambapo mwaka 2012 alichaguliwa kuwa kocha bora wa CECAFA
Wanayanga wanasubiri ujio wake, taarifa zimebainisha kuwa Kaze anatarajiwa kuondoka nchini Canada kesho Jumatatu au Jumanne na huenda akawasili nchini siku ya Alhamisi
Absolutely.Amis is our legend!
Anafikiri timu ya watoto ya Barcelona ndio derby ya Kariakoo?!!! Hataamini kitakacho wapata Chura FC. Tunamkaribisha