Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210114_092734.jpg
 
Hivi halafu bado nawaza hivi kwa nini huwa mnafungwa sana mbele ya Ma Rais Mtani? 🤔🤔

Mana kama jana tumewafunga mbele ya Rais Mwinyi ujue.

Nafikiri inahusiana na jezi, huwa kuna namna tunajua tukiwakasirisha viongozi wakuu kwa kuzifunga timu za chama chao watanuna.
 
Back
Top Bottom