100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Hahahaaa. Haya bana Mtani.
Zile jezi za AS Vita na Al Ahly si bado unazo Mtani?
Hapo wamekupunguzia gharama, utanunua ya timu moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Haya bana Mtani.
Eeewaaaaaa!!! Tunanunua jezi moja tu ya El Merekh. Teh.Zile jezi za AS Vita na Al Ahly si bado unazo Mtani?
Hapo wamekupunguzia gharama, utanunua ya timu moja tu
Hivi halafu bado nawaza hivi kwa nini huwa mnafungwa sana mbele ya Ma Rais Mtani? 🤔🤔Zile jezi za AS Vita na Al Ahly si bado unazo Mtani?
Hapo wamekupunguzia gharama, utanunua ya timu moja tu
Eeewaaaaaa!!! Tunanunua jezi moja tu ya El Merekh. Teh.
A yu shua Mtani?Hiyo ndo timu tutayopiga home and away, AS Vita draw kwao kwetu tunawanyoosha.
Al Ahly mpira ni mpaka uishe, sina matokeo mfukoni.
Hivi halafu bado nawaza hivi kwa nini huwa mnafungwa sana mbele ya Ma Rais Mtani? 🤔🤔
Mana kama jana tumewafunga mbele ya Rais Mwinyi ujue.
A yu shua Mtani?
Mtani wacha kunipiga kamba basi na wewe. 😂😂😂Nafikiri inahusiana na jezi, huwa kuna namna tunajua tukiwakasirisha viongozi wakuu kwa kuzifunga timu za chama chao watanuna.
Hakika. Tuombe uzima tu Mtani.February siyo mbali.
Mtani wacha kunipiga kamba basi na wewe. 😂😂😂
Ss mtatokaje na mpira ule [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]February siyo mbali.
Ss mtatokaje na mpira ule [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamzidi Ykipe kwenye kukaba na kupocess mpira.Huyu saa ingine namuona kama Yikpe aliyechangamka. Teh.