Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Cedric anakusanya ndugu zake , hajawah maliza zaid ya mwaka , mwaka huu huu mnaweza achana nae , nimeshindwa elewa n kiwango au majeruhi

Kafanya vizuri club 2 kati ya 8/9 alizocheza
Mi mwenyewe niliposikia ni Mrundi kuna ka hali fulani nikajikuta ninako.

All in All acha tuone jamaa ana kipi kipya na pia hatuombei iwe hivyo kwamba Kocha tuachane naye ndani ya muda mfupi tu.
 
Hivi wale wazee wa yanga wamemfanyaje Morisson. Au ni tetesi tu kuwa anaachwa solemba
 
Mwenye kwenu kwaheriii
Kwaheriii kwaheriii nakutakia maisha memaaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210118-145039.jpg
 
Wenyewe wanaondoka [emoji16][emoji16][emoji16].
Walikuja kwa mbwembwe nyingiiii.
 
Sijajua kuhusu miaka miwili iliyopita lakini kama Kuna mtu aliangalia game za Burundi afcon hawezi kuwa na shaka na uwezo wa Fiston.Hata nashangaa ambaye anadhani kuwa kwake mburundi ndo kumemfanya asajiliwe Yanga,Mimi naamini atafanya mazuri kwenye timu.
 
Cedric anakusanya ndugu zake , hajawah maliza zaid ya mwaka , mwaka huu huu mnaweza achana nae , nimeshindwa elewa n kiwango au majeruhi

Kafanya vizuri club 2 kati ya 8/9 alizocheza
Yawezekana jamaa anajiamini ana uwezo Mkubwa ila kila anapoenda hapati nafasi ya kutosha kama malengo yake hivyo inabidi awe anasepa tu. Alipokuwa JS Kabylie ya Algeria wakati jamaa anataka kuondoka jamaa waliweka price tag yake Euro Laki 3 hivyo kwa hilo tu unaweza kuona si Wa kawaida.
 
Mi mwenyewe niliposikia ni Mrundi kuna ka hali fulani nikajikuta ninako.

All in All acha tuone jamaa ana kipi kipya na pia hatuombei iwe hivyo kwamba Kocha tuachane naye ndani ya muda mfupi tu.
Huyo mchezaji ni mzuri na ishu ya kuwa mburundi mi nadhani siyo jambo cha msingi aje afanye kama tunavyotarajia basi. Kwenye 2019 AFCON QUALIFICATIONS huyu kijana alikuwa Wa pili kwa ufungaji akiwa na magoli 6 Huku akipitwa na Odion Ighalo Wa Nigeria kwa goli moja. Kumbuka humo kulikuwa na kina Mohammed Sallah, Sadio Mane n.k
 
Back
Top Bottom